Mimi nashangaaa ulipoteza time yako kujibizana nae Thefreedom , inaonekana jamaaa yeye ni mzuri but inforward way na inreverse way hayuko vizuri.... By the way was good challenge to youu..... Endelea kukaza mzee na tuzidi kuelimishana..... HAKUJA KWA LENGO LA KUKUWEKA SAWA, ALIKUJA KUKUDISTURB...
Yaah....nimejiandikisha tangu august mwaka jana
Na ninapoomba kutumiwa hio namba najibiwa hivi "ombi lako la kitambulisho linaendelea kushughulikiwa" kwa hiyo mpaka lini na mimi naomba mara zote!.... na niliend kuchukua wakanambia bado na kujiandikisha tena haiwezekani. Hapo vipi bro???
Habari zenu ndugu zangu katika jamii!
Hivi hii imekaaje wakuu, tunaambiwa tupige namba *152*00# kupata namba yako ya kitambulisho cha taifa kwa gharama ya shilingi 100/= tu.
Lakini mimi binafsi nimetumia hii njia mara tatu sipewi majibu na mia wanachukua!!..... HUU SI UTAPELI??
Naomba kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.