[Reverse Engeenering Module 1] Advance Dll Hijacking For Blackhats And Cybersecurity Experts

Mimi nina swali, je hizi patch zinazotumika kwenye cracked software wanafanya kitu hicho hicho?
 
Yes please

Kaka hapo lazima uwe na hizii knowledge

1. Operating systems uijue vzr jinsi ya mifumo endeshaji inavyofanya kazi. (Windows)

2. Ujue kucheza na convertion ya algorithms ila kwasasa kuna web naprogram nyingi ni saidiizi kukukamilishia kazi

3. Linux just basic tu

4. Networking hiii itakusaidis kufanya remote access na connection forwading
Soma basic network from scratch

Mwisho kama mda basi soma hata language c , c++ , python c# itakusaidia hapo baadae pamoja wengi wanaona wanapoteza mda kwasabb GITHUB inawabeba na ndo hao wanaitwa script hackers

Ila kwenye huuu uziii jua kucheza na procmon, ida pro , processor hacker ndizi nilizotumia
 
Ahsante kaka, Ngoja niingie darasani sasa
 
Ndio maana mimi huwa natumia mfumo wa Linux kusurf internet na kudiwnload maana kutumia PC yenye cracked softwares kwenye internet ni risk sana kuliko kuitumia offline.
 
Back
Top Bottom