Unknown 0-DAY vulnerability found on BIKOSPORTS TANZANIA

Hivi inakuwaje unacheza biko au tatumzuka meseji hairudi unakuta ya makato ya tigopesa au mpesa?
 
Acha utani wewe, namba za kitambulisho cha muhusika utazipata wapi?
Msajili laini atatakiwa kuziweka hizo namba, tarehe,mwezmwezi na mwaka uliozaliwa hivi vyote atatoa wapi na kwa bahati mbaya sana iwe katumia cha NIDA

Tuelezee vizuri mzee
Mzee baba nnachokwambia naijua vizur. Naomba niishie hapo. Natumia jina langu jf so naomba niishie hapa
 
0-day.... Haw jamaa wana hatari!!.... Ila jamaaa Ahsante kwa taarifa,
Kikubwa ni kwamba usiache mzeee mee nakufatilia sana!!....

Sent using POSTA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom