Huyo Halima Bulembo zitto kafunga nae ndoa muda mrefu Sana, sema hatupendi show off.. najua utaduwaa ila habari ndio hiyo mzee anajibaraguza tu labda mwanae kapewa nafasi ya kuwa mke mdogo.
Cheki
Huyo sio wa kwanza acheni kumtumpia lawama.
Floyd Maywether alikataa hadharani kuwa yeye sio Muafrica ila ni muamerica... Ingia hapa uone interview Yake halafu soma comments za black America wakimsapoti kuwa nao sio waafrica
Mwisho wa siku waafrica tuache kujishtukia, acheni watu waishi...
Mkuu kwani umilionea ni tsh ngapi si kuanzia milion 1 Sasa Mimi nakosa milion 1!!! .... Nimeongea based on my experience na ndio maana nimemwambia aende mwenyewe field asihadaike na maneno matam ya mtandaoni. Na nilielezea huo utofauti based kwenye Location za upatikanaji wa mchele.
Nimesema...
Mkuu mchele ukitoka kukoboloewa kwenye mpunga huwa hauna harufu Kali ya kunukia , njia zinazotumika kuleta harufu ni Kama kuukaanga au kuupaka mafuta na kuanika juani... Hizo ni njia salama kabisa Wala sio za kihuni.
Ukiletewa mchele ambao umekobolewa bila kufanyiwa hizo upgrading huwezi nunua...
Asante Sana mkuu..
Nadhani ni utofauti wa njia za kuupaka huo mchele mafuta. Nijuavyo Mimi huo mchele hupakwa mafuta kwa njia ya mikono maana ukisema utumie njia ya kukandamiza Sana unaweza kuukata kata Tena na kuzalisha vipande vingi.
Watu wengi huwa hawajui "Hakuna mchele mbaya Wala mzuri" , najua mtashangaa sana ila huo ndio ukweli.
Iko hivi TANZANIA huwa Kuna misimu mitatu ya mchele na mpunga. Huwa unaanza msimu wa Kanda ya Mbeya ambao kwa Sasa uneshafungwa baada ya kuvuna na watu wameweka kwenye maghala .... hufuata...
Kaweke hela kwenye international banks yoyote ya ulaya , ilikuwepo Barclays ila naona wamewapigia pande absa bank.
Hivyo Basi bank yangu Bora ni absa hapa Tanzania.
Japo absa n bank ya south Africa
Kilo 1 huku dar Ni tsh 1700... Kwa hiyo umekosa shilingi 17,000 ununue hizo kilo 10 ili mwanao apate elimu Bora.
Leo si tumeambiwa maisha ya watanzania yamepanda tangu kusimikwa kwa awamu ya 5 nini tena mapovu yanakutoka kwa hela ya Castle light 5.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.