Recent content by for life

  1. for life

    Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Arusha ni mikwala tuu jiji zima lilitetemeshwa na mtoto wa kuitwa dangote machalii ya R wakawa wanalala muda mmoja na mamilooo
  2. for life

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Wasukuma wataivamia hii thread mpka ishangae yenyewe si unaona nyie mnavyoshibaga kwenye sikuku wao ndo wanashiba hvyo kila siku then muwauzie kisahani cha wali 7000 wakati kwao ni kama salad na kuchangamsha mdomo wakiwa wametoka kula ugali
  3. for life

    Walimu wa kike shule za msingi hawafundishi ipasavyo

    Kuja jamaa mmoja anakishule hataki kusikia neno Mwalimu wa kike shuleni kwake
  4. for life

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mpka utumie magazijuto
  5. for life

    TV4Sale Nauza TV kwa bei za store

    delivery mnafanyaa
  6. for life

    Hizi Habari za Niger Kama ni Kweli Tusubiri Nchi Nyingi Afrika Kuiga

    Watanzania wa Leo wamesinzia wameiacha autopilot
  7. for life

    Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

    1 mmewekewa mindset za kinyonge boss ndo kila kitu nakuwa machawa wao 2wake zenu wanaofanya kazi wanatekereza majukumu ya boss kuliko yako safari za wife hazina excuses boss kwenda nae kwenye semina 3 mnaongoza kwa madeni kukopa wafanyabiashara mshahara ukifika nusu ndo inarudi...
  8. for life

    Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    Kuna muda nawaza Israel ya kwenye bible sii hii tunayoaminishwa
Back
Top Bottom