Recent content by Fohadi

  1. Fohadi

    Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Been doing great. Glady to see you healthy
  2. Fohadi

    Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    It has been a while Carleen
  3. Fohadi

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kaka nimekufata PM. Tafadhali fungua.
  4. Fohadi

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kaka. Tushushe episode namba 26 kaka
  5. Fohadi

    Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or

    Naongezea. Messi ana under 17 kama sio under 20 Golden medal
  6. Fohadi

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bro, Issue sio kwenda kampuni nyingine issue ni kuwa yuko connected na Mama Janeth na yeye atakuwa curious kumfahamu Iryn lazima afanye njia yoyote kuprove kile ulikuwa unasimulia Hapo hapo ndo kitaharibika
  7. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwenye CV au kwenye portal?
  8. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Naomba kuuliza viongozi. Kuna positions zimetoka masharti zinahitaji uwe na referees wawili. Wakati mpaka sasa hivi kwa applications za nyuma tulizofanya mimj CV yangu niliyoupload ina referees 3 pamoja na kwenye system nilijaza 3. Sasa swali langu ni je? Kwenye kuapply hizi nafasi, natakiwa...
  9. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sema uongo dhambi...UTUMISHI wanaonesha jinsi gani wana BUREAUCRACY ya kupindukia. Aisee It doesnt make sense watu kusubiri zaidi ya siku 30 majibu baada ya usaili.
  10. Fohadi

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Tred ndo nini kwanza hujui hata unachoandika....Nimeongea utumbo umesikia sauti yangu humu? Hujui hata kutofautisha kati ya kuongea na kuandika.....NONSENSE!!!!!
  11. Fohadi

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu, with all due respect. Interviews za UTUMISHI inabidi zipewe heshima yake....Unaweza ona mtu amekariri tu lakini katika manotes yote na mambo yote, kile kitendo cha kuyajua majibu sahihi tu tayari ni ushindi. Jambo lingine, MDA & LGA ndio ilikuwa Oral yangu ya kwanza (Naamini nitafaulu kwa...
  12. Fohadi

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Aaaaaah kumbe mkuu swala la kuamua kuleta humu story ni wewe tu na wala sio ubize wala nini.. Maana hapo unasema ulikuwa na MPANGO wa kuleta hiyo story tarehe 5 March ila kwa kuwa umeguswa na comment ya mwamba unasema utaiwahisha.....Safi. Ila hapa chini nina barua yako ya wazi With all Due...
Back
Top Bottom