Una rafiki wa dadaako anafanya kazi airport!!! Ambae kipindi Cha nyuma alikusaidia kupata tiketi za kwenda Dodoma!
Kwanini hukuwaza kumtumia huyo kwenye swala la tiketi za Kenya?
Navyoona bado hata hujaapply chuo...
Na naona scholarship ni ndogo mno..
Wat is 5k given katika i.e 50k scholarship??
Kama unajidhamini ni poa zaidi..
Kila la heri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.