Natamani kusoma Australia

Natamani kusoma Australia

Navyoona bado hata hujaapply chuo...
Na naona scholarship ni ndogo mno..
Wat is 5k given katika i.e 50k scholarship??
Kama unajidhamini ni poa zaidi..
Kila la heri
 
Natamani kusoma masters ila nishazoea ka hela moyo unasita😂😂😂😂
Kwann??
Kahela kako kakubwa kiasi cha kuahirisha ndoto zako??
Kazi zipo tu ila muda haurudi katu....
Usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa
 
Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
Upewe Scholarship Ukasome Australia kwa akili ipi?
 
Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
Apply PASSPORT kabisa uwe nayo kisha ...

Hapo kwenye list ongeza
CANADA , U.S ,U.K NA NCHI nyingine za scandinavians Norway Sweden den...

Hapa inabidi ukeshe Google.. kuapata site sza vyou huko mbalimbali..

Apply usiku na mchana bila kuchoka wala kukata tamaa!

Nimekutag uzi humu Jf wa masuala hayo!

Thread 'Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza' Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza
 
Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
Na pia hakikisha social media/network zako profile yako ipo clean usije ukapata tabu kwenye kupata visa kama ya U.s ..

Maana naona hapa umewekea picha ya osama .. isjie ikawa na huko fb au IG unapicha au comment za mambo yasiyoipendeza nchi unayoomba visa
 
Back
Top Bottom