Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

mkamilaevo

mkamilaevo

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
193
Points
500
mkamilaevo

mkamilaevo

Senior Member
Joined Jul 28, 2018
193 500
daaaaaaaaaaaah imenilazimu ni comment yaan nimesoma post ya Kwanzaa mpaka ya mwisho hongereni wakuu
 
samyz

samyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2015
Messages
524
Points
500
samyz

samyz

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2015
524 500
Duh, mie nakumbuka kipindi hicho nipo na watasha sasa nikawa natakiwa ni present nilivyofika kwenye FAQs, mie niliwatukana kwa ku spell ****...sema kuna mdada kwa sasa yupo boston ndo alinisaidia kuitamka kwa kirefu.
 
Angabags

Angabags

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Messages
630
Points
1,000
Angabags

Angabags

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2018
630 1,000
Mie siku moja tulikuwa na staff mwenzangu tukawa tunamsengenya dada tunayefanya naye kazi, huyo dada alikuwa anazaa mfululizo yaani kila mwaka!!! Sisi tulikuwa kwenye ka room Fulani tunamsema kwa raha zetu, kumbe mwenyewe amekuja muda mrefu sana anatusikiliza, tulivyogeuka tukagonganisha macho, akasema maneno haya "MMEMALIZA KUNISEMA"? loooh! aibu kweli
Daah aliwakomesha
 

Forum statistics

Threads 1,325,757
Members 509,278
Posts 32,201,993
Top