Recent content by Focused mind

  1. F

    JamiiForums Tanzania KIPI BORA KATI YA HIVI?

    Ijapokuwa Elimu ni bora kuliko pesa lkn ni bora kusoma ukiwa na kazi. Coz kusoma ni gharama
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya X-rays, MRI na Ultra sound.

    Kinaogopesha!! Kivipi mkuu?? Elezea plz
  3. F

    JamiiForums Tanzania IDE kwa programming

    Samahani!! Nini maana IDE??
  4. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maelekezo

    Usihofu utajuzwa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

    Ushauri, muone Dokta wa magonjwa ya kinamama. Bila shaka atakusaidia
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

    Ahsanteni sana!! Nakili kwamba nilikuwa sizijui sheria hizi kabla. Aghalabu ningetumia JF "against these rules" bila kujua. Ahsante sana kwa kazi nzuri hii!!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Boom kuongezeka rasmi tarehe 30/10/2018

    No!! Uzushi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Brand ipi ya Wireless Microphone ni nzuri kwa ajili ya kanisa?

    Subiri Wakristo watakujibu!!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Boom kuongezeka rasmi tarehe 30/10/2018

    Kweli Mwanafunzi ni Mwanafunzi tu, haijalishi anasoma level gana Kuna vijitabia lazima wafanane. Hii tabia nilidhani iko o-level tu
  10. F

    JamiiForums Tanzania TTCL nini shida?

    Kweli kabisa. "RUDI NYUMBANI KUMENOGA" Basi wapanogeshe kweli
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa sana wanalofanya wana chuo.

    [emoji3581]
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mimi sio muumini tena wa Kanisa Katoliki

    Nakubali ninomaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. F

    JamiiForums Tanzania Napitia katika changamoto kubwa

    Kwanza hongera kwa kujitunza mana kwa dunia ya leo ww ni wapekee!! Amka usiku wa manne muombe Allah!!! Mwambie kwa hisia kali kama vile unamuona face2face,,, mwambie usiponisadia ww nan atansaida!! Naapa kwa alieumba mbingu na ardhi, hakika atakupa hitajio lako,, tena atakupa mpaka uridhike!!
Back
Top Bottom