Brand ipi ya Wireless Microphone ni nzuri kwa ajili ya kanisa?

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,663
13,488
Nawasalimu kwa jina la bwana Yesu Kristo.
Kanisa linataka kununua wireless microphone kwa ajili ya matumizi ya kanisa. Ninaomba mnielekeze juu ya brand nzuri kwa bei isiyozidi 250000. Na ushauri mwingine juu ya vifaa hivyo.

Natanguliza shukrani
 
Microphone hapa kwetu ni majanga hasa za kisasa, ukipata nzuri bei ghali ukitafuta za bei rahisi hazina quality.

Wired sio option? Wireless brand nzuri kama shure na Audiotechnica zinaanzia dola 200
 
Asante chief, wired tumeshanunua za kutosha kuanzia na sasa tunahitaji hizo za wireless
 
Back
Top Bottom