Kosa kubwa sana wanalofanya wana chuo.

Kosa kubwa sana wanalofanya wana chuo.

Mkuu life sio rahisi kama maandishi yako yasemavyo kuna baadhi hata boom tu lenyewe halitoshi kupambana na changamoto za masomo na mazingira kuanzia chuoni mpaka nyumbani
 
Kuwa na vifaa au furniture zote hizo sio tabu cha msingi kujiongeza upande wa pili wa kutafuta pesa mbali na masomo yako. Kwakua sio lazima mwanachuo atakiwi kumiliki vitu tajwa hapo juu. Thread saafi kabisa
 
Wapo ila si kwa Hela Ya Boom. Jamaa Akiona Wanachuo wanavitu hivyo ndani anafikiria ni Mkopo tu
well said mkuu wengine wana michongo yao pembeni wanafanya ila wanaoiga ndio wanaopotea kabisa na boom linakua halitoshi pia
 
kweli vijana wengi wamejawa lawama kwa wazazi na ndugu,wakati wamewawasomesha tena wanarudi kuwa mzigo,nadhani wakijipanga vizuri wanaweza kuwa msaada kwao na vizazi,if you born poor is not your problem but if you die poor that's your problem.
 
Nakumbuka kipindi nipo chuo nilikua busy sana kutokana na course yangu niliyosoma ilikuwa ngumu kidogo, sasa mtoa mada unaposema watu wajichanganye mtaani kwa kufanya biashara ndogo ndogo huo muda unatoka wapi?, kuna kipindi ilifika naenda chuo asubuhi natoka usiku wa saa mbili.
 
kwanza nashukuru kwa uzi wako uliokaza, pili asante kwa ushauri wako mzuri, lkn tatu nimegundua kua shabiki siku zote huwa anatamani mchezaji angefanya vile anafikiria yeye ingekua ni vizuri km ingekua ivo.
apart from that, naomba na mie niseme yangu maana me ni muhanga
kwanza nikuulize wazani kila chuo kina ada inayofanana??? na jee wazan serikali inalipa zote? na jee wazan ni wote wanaopata mkopo wa ada pamoja na boom vyote kwa pamoja? baada ya kusema ayo napenda nikupe rough ya matumiz ya pesa chukulia mtu mwenye 80-90% ya mkopo wa ada na boom anapewa afu uyo mtu hana demu na anakaa geto la 50,000/=kwa mwezi. pesa anayoanza nayo ni 735elfu ambayo atatakiwa akate pacent amalizie ada iliobaki na inaweza ikawa bado haijaisha inategemea na chuo km cha private tufanye iyo ada ni 350elfu , bado hujalipA kodi miez 6 itakua ni 300elfu hapohapo bado hujala hujavaa vizuri kwaio matatizo hayaishi kwa iyo 735elfu yatangojea phase inayofata kumbuka umeenda kusoma hujaenda kutumia pesa kwa ajili ya kulipa madeni na kula tu kuna kazi za chuo utatakiwa uzifasnye. Phase inayofata pesa anayopata kila baada ya miez 2 na week kazaa ni 535 elfu ambayo ukiondoa pesa ya kula ktk miez miwili na izo week zake kwa mtu anaekula vizuri geto kwake sio chini ya 300k,,, unabaki na 235 kumbuka kuna shida zilizokua zimebakia kwny phase 1? aya kwny ako kahela unapunguzA shida kidogo labda umenunua mipalo, na kikawaida hutakiwi kufulia unatakiwa uwe na emergency money tuko sawa nazan.Ok phase ya 3 umepewa 535k unatakiwa umalizie kaada labda kalibakiA 250k apo swala la kodi lina load kichwani maana miez 6 inakaribia kuisha,,,, toa hela ya kula apo kisha ukumbuke hatukupiga hesabu yoyote kuhusu geto?yaan apo unalala chini😂😂😂😂na hujanunua chochote ndani .ok tunaendelea iyo hela inakua imekata ivo yaan,,,,,, njoo phase ya 4 unapata ako ka 535k kodi ya nyumba imeisha, unataka kula, umalize na shida zako ndogondogo nauli na vitu vingne🤣🤣🤣🤣 huo ni mchanganuo wa mwaka mmoja wa masomo
SASA SWALI KWA IYO MIAKA TUFANYE 3 KWA MWENDO HUO APO JUU IYO PESA INATOSHA KUFANYA AYO ULIOSEMA? PAMOJA NA KUSAIDIA FAMILIA YAKO ? SANA SANA UKISAIDIA HAIZID 50K NA APO KICHWA KITAKUA KINAKUUMA KWA KUTOA HELA, AYA KUNUNUA KIWANJA KUFANYA BIASHARA NA MIRADI ULIOISEMA APO JUU BOSS IYO HELA ITATOSHA??? ANYWAY ATA KM MTU ANASOMA CHUO CHA SERIKALI ANALIPIWA KILA KITUUU AYO ULIOSEMA YATABAKI NDOTO KUMBUKA UMEENDA KUSOMA NA IZO PESA UMEPEWA KWA AJILI YA KUSOMA!!!
SIKATAI KWNY IYO HELA YOU CAN DO SOMETHING LABDA KWA KUJIKUNJA KUNJA KIROHO MBAYA UKANUNUA KIWANJA CHA 500K ILA LAZMA UPATE TABU SANA UTAISHI MAISHA PLUS😀😀😀😀KUMBUKA HUJANUNUA KOMPYUTA MAMBO NI MENGIII ,,,DOGO KULE SEKONDALI YA MCHAMBA WIMA HAJAKUPIGA KIZINGA NA KUKUTENGENEZEA TATIZO LA 150K💪😂😂😂
BAADA YA YOTE HAYA NAPENDA KUISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPA WANAFUNZI MIKOPO KWA 7BU KUNA WATOTO WA WAKULIMA WANGETAFUTANA HUKO CHUONI KM SIO KUACHA BASI NI LOW LEVEL OF SCHOLARS AMBAO NI WALE WANAOJIWEZA KWAO TUU AHSANTENI SANA 💪💪💪
 
Boom laki sita na kidogo likizidi sana laki 7 kwa siku 90 au 70, hujala, ujahonga (jinsia zote), hujavaa, hujaombwa panchi, hujabet (jinsia zote wanawake wamejaa tatu mzuka), hujaenda kwa bebi morogoro.
.
Hivyo vitu atavipataje labda adange kwa mwanamke, mwanaume awe marioo
 
kwanza nashukuru kwa uzi wako uliokaza, pili asante kwa ushauri wako mzuri, lkn tatu nimegundua kua shabiki siku zote huwa anatamani mchezaji angefanya vile anafikiria yeye ingekua ni vizuri km ingekua ivo.
apart from that, naomba na mie niseme yangu maana me ni muhanga
kwanza nikuulize wazani kila chuo kina ada inayofanana??? na jee wazan serikali inalipa zote? na jee wazan ni wote wanaopata mkopo wa ada pamoja na boom vyote kwa pamoja? baada ya kusema ayo napenda nikupe rough ya matumiz ya pesa chukulia mtu mwenye 80-90% ya mkopo wa ada na boom anapewa afu uyo mtu hana demu na anakaa geto la 50,000/=kwa mwezi. pesa anayoanza nayo ni 735elfu ambayo atatakiwa akate pacent amalizie ada iliobaki na inaweza ikawa bado haijaisha inategemea na chuo km cha private tufanye iyo ada ni 350elfu , bado hujalipA kodi miez 6 itakua ni 300elfu hapohapo bado hujala hujavaa vizuri kwaio matatizo hayaishi kwa iyo 735elfu yatangojea phase inayofata kumbuka umeenda kusoma hujaenda kutumia pesa kwa ajili ya kulipa madeni na kula tu kuna kazi za chuo utatakiwa uzifasnye. Phase inayofata pesa anayopata kila baada ya miez 2 na week kazaa ni 535 elfu ambayo ukiondoa pesa ya kula ktk miez miwili na izo week zake kwa mtu anaekula vizuri geto kwake sio chini ya 300k,,, unabaki na 235 kumbuka kuna shida zilizokua zimebakia kwny phase 1? aya kwny ako kahela unapunguzA shida kidogo labda umenunua mipalo, na kikawaida hutakiwi kufulia unatakiwa uwe na emergency money tuko sawa nazan.Ok phase ya 3 umepewa 535k unatakiwa umalizie kaada labda kalibakiA 250k apo swala la kodi lina load kichwani maana miez 6 inakaribia kuisha,,,, toa hela ya kula apo kisha ukumbuke hatukupiga hesabu yoyote kuhusu geto?yaan apo unalala chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hujanunua chochote ndani .ok tunaendelea iyo hela inakua imekata ivo yaan,,,,,, njoo phase ya 4 unapata ako ka 535k kodi ya nyumba imeisha, unataka kula, umalize na shida zako ndogondogo nauli na vitu vingne🤣🤣🤣🤣 huo ni mchanganuo wa mwaka mmoja wa masomo
SASA SWALI KWA IYO MIAKA TUFANYE 3 KWA MWENDO HUO APO JUU IYO PESA INATOSHA KUFANYA AYO ULIOSEMA? PAMOJA NA KUSAIDIA FAMILIA YAKO ? SANA SANA UKISAIDIA HAIZID 50K NA APO KICHWA KITAKUA KINAKUUMA KWA KUTOA HELA, AYA KUNUNUA KIWANJA KUFANYA BIASHARA NA MIRADI ULIOISEMA APO JUU BOSS IYO HELA ITATOSHA??? ANYWAY ATA KM MTU ANASOMA CHUO CHA SERIKALI ANALIPIWA KILA KITUUU AYO ULIOSEMA YATABAKI NDOTO KUMBUKA UMEENDA KUSOMA NA IZO PESA UMEPEWA KWA AJILI YA KUSOMA!!!
SIKATAI KWNY IYO HELA YOU CAN DO SOMETHING LABDA KWA KUJIKUNJA KUNJA KIROHO MBAYA UKANUNUA KIWANJA CHA 500K ILA LAZMA UPATE TABU SANA UTAISHI MAISHA PLUS[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]KUMBUKA HUJANUNUA KOMPYUTA MAMBO NI MENGIII ,,,DOGO KULE SEKONDALI YA MCHAMBA WIMA HAJAKUPIGA KIZINGA NA KUKUTENGENEZEA TATIZO LA 150K[emoji123][emoji23][emoji23][emoji23]
BAADA YA YOTE HAYA NAPENDA KUISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPA WANAFUNZI MIKOPO KWA 7BU KUNA WATOTO WA WAKULIMA WANGETAFUTANA HUKO CHUONI KM SIO KUACHA BASI NI LOW LEVEL OF SCHOLARS AMBAO NI WALE WANAOJIWEZA KWAO TUU AHSANTENI SANA [emoji123][emoji123][emoji123]
Well said
 
kwanza nashukuru kwa uzi wako uliokaza, pili asante kwa ushauri wako mzuri, lkn tatu nimegundua kua shabiki siku zote huwa anatamani mchezaji angefanya vile anafikiria yeye ingekua ni vizuri km ingekua ivo.
apart from that, naomba na mie niseme yangu maana me ni muhanga
kwanza nikuulize wazani kila chuo kina ada inayofanana??? na jee wazan serikali inalipa zote? na jee wazan ni wote wanaopata mkopo wa ada pamoja na boom vyote kwa pamoja? baada ya kusema ayo napenda nikupe rough ya matumiz ya pesa chukulia mtu mwenye 80-90% ya mkopo wa ada na boom anapewa afu uyo mtu hana demu na anakaa geto la 50,000/=kwa mwezi. pesa anayoanza nayo ni 735elfu ambayo atatakiwa akate pacent amalizie ada iliobaki na inaweza ikawa bado haijaisha inategemea na chuo km cha private tufanye iyo ada ni 350elfu , bado hujalipA kodi miez 6 itakua ni 300elfu hapohapo bado hujala hujavaa vizuri kwaio matatizo hayaishi kwa iyo 735elfu yatangojea phase inayofata kumbuka umeenda kusoma hujaenda kutumia pesa kwa ajili ya kulipa madeni na kula tu kuna kazi za chuo utatakiwa uzifasnye. Phase inayofata pesa anayopata kila baada ya miez 2 na week kazaa ni 535 elfu ambayo ukiondoa pesa ya kula ktk miez miwili na izo week zake kwa mtu anaekula vizuri geto kwake sio chini ya 300k,,, unabaki na 235 kumbuka kuna shida zilizokua zimebakia kwny phase 1? aya kwny ako kahela unapunguzA shida kidogo labda umenunua mipalo, na kikawaida hutakiwi kufulia unatakiwa uwe na emergency money tuko sawa nazan.Ok phase ya 3 umepewa 535k unatakiwa umalizie kaada labda kalibakiA 250k apo swala la kodi lina load kichwani maana miez 6 inakaribia kuisha,,,, toa hela ya kula apo kisha ukumbuke hatukupiga hesabu yoyote kuhusu geto?yaan apo unalala chini😂😂😂😂na hujanunua chochote ndani .ok tunaendelea iyo hela inakua imekata ivo yaan,,,,,, njoo phase ya 4 unapata ako ka 535k kodi ya nyumba imeisha, unataka kula, umalize na shida zako ndogondogo nauli na vitu vingne🤣🤣🤣🤣 huo ni mchanganuo wa mwaka mmoja wa masomo
SASA SWALI KWA IYO MIAKA TUFANYE 3 KWA MWENDO HUO APO JUU IYO PESA INATOSHA KUFANYA AYO ULIOSEMA? PAMOJA NA KUSAIDIA FAMILIA YAKO ? SANA SANA UKISAIDIA HAIZID 50K NA APO KICHWA KITAKUA KINAKUUMA KWA KUTOA HELA, AYA KUNUNUA KIWANJA KUFANYA BIASHARA NA MIRADI ULIOISEMA APO JUU BOSS IYO HELA ITATOSHA??? ANYWAY ATA KM MTU ANASOMA CHUO CHA SERIKALI ANALIPIWA KILA KITUUU AYO ULIOSEMA YATABAKI NDOTO KUMBUKA UMEENDA KUSOMA NA IZO PESA UMEPEWA KWA AJILI YA KUSOMA!!!
SIKATAI KWNY IYO HELA YOU CAN DO SOMETHING LABDA KWA KUJIKUNJA KUNJA KIROHO MBAYA UKANUNUA KIWANJA CHA 500K ILA LAZMA UPATE TABU SANA UTAISHI MAISHA PLUS😀😀😀😀KUMBUKA HUJANUNUA KOMPYUTA MAMBO NI MENGIII ,,,DOGO KULE SEKONDALI YA MCHAMBA WIMA HAJAKUPIGA KIZINGA NA KUKUTENGENEZEA TATIZO LA 150K💪😂😂😂
BAADA YA YOTE HAYA NAPENDA KUISHUKURU SERIKALI KWA KUWAPA WANAFUNZI MIKOPO KWA 7BU KUNA WATOTO WA WAKULIMA WANGETAFUTANA HUKO CHUONI KM SIO KUACHA BASI NI LOW LEVEL OF SCHOLARS AMBAO NI WALE WANAOJIWEZA KWAO TUU AHSANTENI SANA 💪💪💪
Umenena katibu
 
Back
Top Bottom