Recent content by fnyinge

  1. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Waje watunyanganye na simu kama wanataka tuangalie movie za kibongo... Maana kuna masite kibao watu tunashusha vitu tu... Tena ukicheki kipindi hiki hata cd zilikuwa hazinunuliwi sana
  2. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Kisheria, Paul Makonda asipofika Kamati ya Maadili nini kitatokea?

    Mungu anamsaidia kutukana bunge... Kweli akili zako zimeshikwa au hazipo kbsa... Mwenyezi Mungu hatajwi kwenye mambo ya kijinga
  3. fnyinge

    JamiiForums Tanzania AJALI: Watu kadhaa wafariki wakitokea Rombo kwenye Miaka 40 ya CCM

    Wapumzike kwa amani
  4. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Watanzania wajutia uwepo wa CCM madarakani

    Kama lowasa hafai alipataje kura million 6??jiulizeni hilo swali,na sio kubwatuka bwatuka tu..
  5. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee tudiscuss namna ya kumpiga mzungu wa meridian leo
  6. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Meridian betting

    Hiv mwenye kujua turbo payout inafanya kazi vipi naomba atiririke hapa
  7. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Ujenzi inayoendelea Chato inahitaji mjadala wa kitaifa

    Bukoba hata kuwapa stahiki zao za rambirambi aligoma saahiv anaenda kujenga kwake.. Afu baadae anasubutu kusema mniombee niendelee kunyoosha nchi.... Haya mambo yanatia hasira sana..
  8. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Shilingi yazidi kushuka, 1 USD = 2223Tsh

    Kwa mbali i can see the great depression in Tanzania.. GOD help us all
  9. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna mtu anatizama FNL EATV? Stereo na Chemical live

    Tupac alikuwa hamaanishi girlfriend msichana but alikuwa ana maanisha mguu wa kuku(gun) [emoji30] [emoji30]
  10. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Rais atathmini msimamo suala la njaa

    Kwani uongo sasa
  11. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Azam FC yatwaa Ubingwa wa kombe la Mapinduzi 2017 baada ya kuifunga Simba SC 1-0

    Azam hachomoki hata kwa dawa
  12. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Rais anapoongeza 'chumvi' kueleweka kwa wananchi

    Siwezi sikiliza hotuba ya huyu rais hata siku moja kwani kumsikiliza ni kuitendea nafsi yangu ubaya
  13. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

    Baada ya miaka kumi ya uongozi huu. Tanzania tunaweza kuwa tumefutika kwenye ramani ya dunia
  14. fnyinge

    JamiiForums Tanzania Wanaoandika serikali imefilisika wanajua uchumi?

    Akili ya mtoa mada ipo kwenye grassroot level
Back
Top Bottom