Recent content by FM stereo

  1. FM stereo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Una feel proud hadi kuja kutangaza kwa umma? Una umri gani???? Utayekuja kumuoa saizi anafanyiwa uharamia mahali,na wewe watu watakuwa wanakung'onga kwa kipimo hiki hiki. Anyway,,,usitapakaze basi mtaani ukajaharibu mahusiano mapya ya watu
  2. FM stereo

    Hivi ndivyo kodi zenu zinavyotumika: William Malecela anatalii na gari ya DC Muro

    Lemutuz na Jerry watapata tabu sana...nna uhakika hata hiyo hoteli kalala kwa hisani ya DC,halipi Accommodation wala meals and drinks.. Covered by DC
  3. FM stereo

    Masau Bwire akutana na vibaka usiku wa kuamkia leo,aporwa simu 23

    Cha ajabu, zote ukipiga hapokei.sasa unajiuliza alikuwa anabeba za nini hasa?
  4. FM stereo

    Kwa kupiga bao moja na weza pata ukimwi?

    Kichwa cha habari na ukichoandika ndani haviwiani. Kweli Rais Mkapa alikuwa sahihi. Tunahitaji mjadala WA kitaifa kuhusu elimu ya Sasa.hata uandishi tu kwa lugha ya taifa ni shuguli?
  5. FM stereo

    Kumbe tumelipa ndege tarehe 29 Machi 2018 na kesi ikafutwa! Sijui imetoka kwenye bajeti ipi na nani kawajibika...

    Kutotoa jina lake halisi kunanifanya niwe nimepoteza muda kusoma cooked story. .
  6. FM stereo

    Mtoto kuzaliwa na meno

    Asante kwa ushauri mzuri!!
  7. FM stereo

    Madereva pitieni hapa kuepuka fine za overspeed na speed camera

    hii app ni ya kwel,,, ina kuonyesha spid inayotakiwa kutumika katika eneo husika ina sense camera za polis kwaa kupiga alam inakuonyesha route ya barabara...tangu nimeijua trafik huwa ni kuwapungia tu,,,maana hata ajifiche alam ikishagonga unapunguza spid
  8. FM stereo

    Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

    Sababu unataka atoe mimba ambapo na yeye atashiriki hiyo dhambi, subiri mtoto akizaliwa utende hiyo dhambi peke yako bila kumshirikisha!
  9. FM stereo

    Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

    group O- ni shida kupatikana sana...hivi icho chama cha wenye hili group sijakiskia??
  10. FM stereo

    Umaarufu wa Lowassa washuka hadi kufikia asilimia 27, Rais Magufuli azidi kung'ara

    umeona hapa...... The low rating can also be attributed to the current government’s crackdown on the Opposition party leaders and the banning of live coverage of the Parliament sessions that used to give Opposition parties a platform to be in the limelight. Recently, the government lifted the...
Back
Top Bottom