Recent content by florence

  1. florence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mliolala na wadada wa kazi zenu mtujibu ili tuelewe

    😂
  2. florence

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Pole sana Natamani kufahamu Kwa hiyo uko straight na unaweza muatend vizur girl friend wako? Na huyo guy mwengine yupo straight pia?
  3. florence

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine: Putin aonya “Yeyote atakayeingilia atapata pigo la kihistoria”

    Nje kuna mvua mkuu litaendelea kulowa tu
  4. florence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

    Nyie hamuudhi kwani! Mnakera sana kujiona hamkosei ila mnakosewa tuu. Huyo mkurya ni mwanaume kamili
  5. florence

    JamiiForums Tanzania Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Jamani wewe Ungenipa hiyo hela mtaji
  6. florence

    JamiiForums Tanzania "The code of civilization", ambayo ikivunjwa Dunia haitakalika tena.

    Funguka zaidi mkuu am interested
  7. florence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamfahamuje wife material?

    No 2 ngumu sana kama akiwa na vigezo no 1 na 4hahahha
  8. florence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

    🤣🤣🤣🤣🤣
  9. florence

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji kuhusu mizimu

    🤣🤣🤣🤣mecheka sanaa
  10. florence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stop dating mentally broke girls

    wapo wengi tuu
  11. florence

    JamiiForums Tanzania Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

    Linatibika vizur tuu mtu akifanikiwa kuonana na gyno mzur
  12. florence

    JamiiForums Tanzania Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

    Harufu inatoka kwenye maumbile ya uzazi kwa ndani ambako.kumeathirika kwa bakteria au fangas na kumekuwa sugu. Ni sawa na yule anaenuka mdomo hata apige mswaki utanuka tuu
  13. florence

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

    😂😂😂😂
  14. florence

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2021: Makosa niliyoyaona kwenye Hotuba ya rais Samia na wasaidizi wake

    Tunawaza pamoja hata mie nafikiri Kuna Hali kama hi
  15. florence

    JamiiForums Tanzania V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Ais Aisee nipatie no yako tajiri unipatie hako ka Camry Mana nimechoka kutembea kama mfugo
Back
Top Bottom