Unamfahamuje wife material?

Hizo sifa zote ninazo ila shida nyota yangu haijawaangukia nyie niliwahi jiuliza why sipati mume nakasoro gani naninakila kitu .

Halaula jibu nimelipata kumbe rangi zenu sina nyota nazo .
Laiti ningelijua mapema hata jf nisingeijua
Hongera, kwa kuwa na sifa zote, muda utakapofika, mtakutana wenye nia moja na kutengeneza a product of desireable quality... mambo ya kutokuwa na nyota ni mambo unayojitengenezea kwa fikra na ulimwengu hukujibu kutokana na fikra zako....
 
-Hanywi savana anakunywa soda..ukishaona dem anakunywa savana vaa ndom

-Havai nguo fup hata sku1

Anaenda kanisan

-Hanukii manukato manukato mda wote..ana haruf ya asil

-Ana aibu

-msafi na ana pu..ssy safi

-kabat lake halikos nguo ya kitenge piga ua
Safi Sana ...HIZI ndo points na sio kusema eti awe mnyenyekevu na mwenye akili wakati hivo Ni vitu vya spiritual Zaidi sio rahisi kuvingundua physical
 
Akili unaigunduaje?????????????yaani afanye Nini na Nini asiwe na mazoea ya kufanya ndo ugundue Ana akili

Maana wengine hata mtu akivuta sigara wanamuona Hana akili...lakini hiyo Ni tabia au mazoea mabaya maana wako maprofesa waliofanikiwa wanavuta sigara.....kwa hiyo tujielekeze kwenye vigezo vya physical vina vyoweza kuonyesha walau kidogo anajitambua...yapo mapungufu yanayosababishwa na malezi hayamaanishi mke huyo hawez kuja kubadilika
 
Maana Kuna mwingine ye kwake akiona mtu anapost Sana picha zake kwenye social media anamuona kuwa Hana akili... mwingine anachukulia poa.....ila kwenye suala la aibu nako tuwe makini tusije kupigwa wengine Ni mabingwa wa kuigiza
 
Hizi point nakumbuka nilizimeza kipindi nasoma halafu hazikutoka kwenye mtihani, angalau nimepata sehemu ya kuzitumia
Naskiaga mtu akila cannabis sativa/dope anakumbukaga mpaka vitu ambavyo hata hajui kama alivifanya na kuna baadhi huwa wakimaliza kupuliza wanaanza kulia tu yaani files zina anza kuload kichwani, eti ni kweli?!
 
mbona hii ndo point inayojirudia nazani kuna shida sehemu kwa awa dada zetu
Hapana zinatofautiana.

1. Ana akili, (Kila binadamu ana akili, Mungu hakuumba binadamu asiyekua na akili)

2. Ana akili timamu, hapa ndiyo kuna utofauti sasa kama alivyocomment huyo mdau. Binadamu wote tuna akili sawa ila siyo wote tuna akili timamu/kamilifu.
 
anazungumzia akili ya kujitambua kila mtu ana akili sema kujitambua ndo tatizo
 
Hongera, kwa kuwa na sifa zote, muda utakapofika, mtakutana wenye nia moja na kutengeneza a product of desireable quality... mambo ya kutokuwa na nyota ni mambo unayojitengenezea kwa fikra na ulimwengu hukujibu kutokana na fikra zako....
Nyota lazima ziendane zisipoendana mkioana mtaachana seriously
 
Back
Top Bottom