financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
Hakika kujishusha ni muhimu na si ujinga, wote mkipanda mtaishia kuumizana tu, wengine tunaogopa afu wanaume mlivokomaa hivo eti umletee jeuri si atakuua mmh ugali bado naupenda mimi🤪Na mwanamke kama wewe ni ngumu Sana kupigwa. Wanaume wengi hatuna hasira za juu kwa mwanamke anayejishusha.
My x alikuwa akiona amenikasirisha anaomba msamaha. Halafu Sasa baadae Sana au siku nyingine ndipo anaanza kunieleza kwa upole, kwa heshima na adabu kwa Nini alifanya vile.

. Nilimpiga mpaka akazima.