Recent content by Fletcher

  1. Fletcher

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

    Akifilisika si atafute kwengine awe tajiri tena
  2. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ila watu wana roho ngumu sana

    Ili mda ambao hatuko pamoja nijichukulie sheria mkononi
  3. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unakumbuka kauli gani chafu iliowahi kukukera ukajiengua from a Toxic partner?

    Pole sana
  4. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanipa ultimatum kuwa nisipomuoa mwaka huu, atachukua maamuzi magumu

    Achana nae, anakuletea kauli za ajabu ajabu. Soko bado liko vizuri, tafuta mwingine songesha mpaka ukiwa tayari kuoa
  5. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeibiwa na 'pisi kali'

    Hahaha
  6. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeibiwa na 'pisi kali'

    Weka mashine mzee, mengine baadae
  7. Fletcher

    JamiiForums Tanzania Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

    Nunua hisa crdb au tbl Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Fletcher

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 5 kwa wizi

    Mkazi wa tandale katumiwa nauli atoke dodoma aende dar Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Fletcher

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu ujenzi wa Ubungo Flyover

    Kuna point flani. Itabidi zitumie nguvu zaidi kuliko ilivyokua mara ya kwanza wa stendi, Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Fletcher

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeitwa Polisi

    Hama nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Fletcher

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo mbadala nifanye nini katika hili

    Nenda nayo nyumbani. Chimba shimo uani ifukie
  12. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

    Unakuta jamaa kajitahidi kutulia na demu na hajawahi kucheat hata mara moja halafu inatokea demu anamcheat mshkaji, Ngumu kusamehe. Ntakusamehe yote ila kwa hilo bora tuachane. Kama mwana alicheat kabla, na dem alimsamehe maisha yakaendelea halafu demu akajacheat bila mshkaji kumsamehe, hapo...
  13. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane: Mchumba hasomeshwi

    Anasomeshwa cherehani tu
  14. Fletcher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sisi wanaume wa shoka hizi ndo zetu

    Ndo vitu vyangu hivo
Back
Top Bottom