Maoni yangu kuhusu ujenzi wa Ubungo Flyover

Maoni yangu kuhusu ujenzi wa Ubungo Flyover

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,494
Reaction score
29,282
Kuanzia kituo cha mwendo kasi cha standi mkoa kuelekea Kimara na kwa kuanzia kituo cha mwendo kasi Ubungo TANESCO kwa kuelekea K/koo kwa kupitia juu kwenye hiyo fly over kwa kiasi kikubwa cha haya magari ya mwendokasi yanavyojaza abiria ule mwinuko wa hiyo barabara ya juu kwa jinsi magari yanavyoshana abiria tutarajie magari yote kuharibika.

Ule mwinuko na magari yenyewe ni automatic kitendo cha kutoka kituoni hadi lianze kupanda ule mwinuko na kwa wingi wa abiria gari halijachanganya gia linakutana na mwinuko kama abiria wasipopunguzwa kwa ujazo wa gari tutarajie mradi wa magari hayo kufa gear box au engine kabisa.

Ombi langu kwa serikali kama yakianza kupita juu kuwe na kiwango cha abiria kupanda gari kama wanavyosimamia panton pale Kigamboni.

Asanteni.
 
wa stendi,
Wewe jamaa unamiliki gari au huwa unapanda tu.

Rudi darasani kisha ufanye practical ya udereva
 
Labda nikusaidie kitu, kafanye homework urudi na mrejesho gari za mwendokasi zina Horsepower ngapi na mwisho wa kubebe ni Tonne ngapi, pia torque inayotengenezwa kwa rpm 1/1000 ni ngapi.
Ukiyajua hayo utasolve mystery yako ya uoga.
 
Hapo itakuwa ulipita pale mzee mkaanza kubishana na abiria wenzako, conclusion mliyofikia ikawa uzi tayari [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom