Mkuu utakua huu utafiti wako umeufanya wakati upo unanzia au uko usinginzini kabisa nakushauri tu ujaribu kuurudia tena kwa umakini mkubwa sana na uliotulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza hao nssf siwapendi kama nini mpka leo pesa zangu cjapewa kila cku nikuhangaika. Sioni ulazima wa kukatwa mshahara wa mtu hali ya kuwa ukipata tatizo au ukistaff kulipwa mafao yako ni mziki. Nibora ukaweke mwenyewe unapo pajua wewe. Tuspangiane bhan
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nataka nisometu comments za wenzangu ila kwa huu utahira wako lazima na mimi nikuchane maana nicpo sema nitabaki na dukuduku langu so utanisamehe mkuu. We ni bonge la fala lina kutosha hilo mkuu maana leo cko na akili zangu za ucku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna wasiwasi na huu uzi umenilenga mimi maana hata cku tatu bado tokea nimkatie mtu mawasiliano leo naingia huku na kutana na uzi kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.