steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,467
- 13,653
Acha kulialia hapa mtoto wa kiume!
mijitu mingine inaudhi ujue mkuu, sasa kilichomfanya amuache hata hakieleweki anataka Sisi tumshauri nini wakati hajapambanua kwa nini alimwacha binti wa watu,hawa ndio wanaotufanya mabinti warembo wote watuchukie wanaume wote kwa tabia hizi za kishenzi