Msichana wangu kanisaliti, nifanyaje?

Msichana wangu kanisaliti, nifanyaje?

Kulikua na ulazima gani mpaka aende kumwambia. Simu hamna?
 
Mimi Nina demu ambaye alitoka kwenye mahusiano ya zaman na kuanzisha mahusiano na Mimi mapya ila dem wangu huyu siku moja aliniambia kuwa anaomba nauli ili aenfe akamchane live ex wako kuwa aachane nae ili asiendelee kumsumbua basi nikampa nauli akaenda kwa ex wake huyo ila cha ajabu huyu demu akaja kuniomba msamaha kuwa baada ya kufika kwa ex wake huyo shetan alimpitia akasex nae bila kutegemea kwa kuwa huyo ex wake alimlazimisha kufanya nae mapenz na mpka sasa huyo ex wake ameshaachana nae rasmi baada ya kumwambia kuwa ana mpenz mpya ambaye ni Mimi.

JE HUYU DEMU ANANIFAA AU HANIFAI?

Sent using Jamii Forums mobile app
MUOMBE MSAMAHA MAANA WE NDO CHANZO CHA YEYE KUGONGWA! MWAMBIE AKUSAMEHE KWA KUMPA NAULI NA MWISHO AKAENDA KUGONGWA NA EX WAKE!

PAMBANA NA HALI YAKO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha. we achana nae,upambane na hali yake tu.
 
Mimi Nina demu ambaye alitoka kwenye mahusiano ya zaman na kuanzisha mahusiano na Mimi mapya ila dem wangu huyu siku moja aliniambia kuwa anaomba nauli ili aenfe akamchane live ex wako kuwa aachane nae ili asiendelee kumsumbua basi nikampa nauli akaenda kwa ex wake huyo ila cha ajabu huyu demu akaja kuniomba msamaha kuwa baada ya kufika kwa ex wake huyo shetan alimpitia akasex nae bila kutegemea kwa kuwa huyo ex wake alimlazimisha kufanya nae mapenz na mpka sasa huyo ex wake ameshaachana nae rasmi baada ya kumwambia kuwa ana mpenz mpya ambaye ni Mimi.

JE HUYU DEMU ANANIFAA AU HANIFAI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakufaa endelea nae.

Endelea kuwa nae mkuu. Anakupenda huyo. Kama unayo pesa mpe nauli na hela ya gesti aende akamchane vizuri bila kuona haya mana mwanzo hakumchana vizuri alikuwa na woga akihofia anaweza kuzabwa vibao lkn sasaiv kashajua kama hatopigwa basi mpatie na ya gesti akamchane tu. We endelea kuwa nae, yaani we jamaa una moyo mzuri kweli
 
anakupenda sana usimuache ila usiache kumpa nauli mara kwa mara ili kuimarisha penzi lenu
Byeeeeeeeeee
 
Endelea kuwa nae mkuu. Anakupenda huyo. Kama unayo pesa mpe nauli na hela ya gesti aende akamchane vizuri bila kuona haya mana mwanzo hakumchana vizuri alikuwa na woga akihofia anaweza kuzabwa vibao lkn sasaiv kashajua kama hatopigwa basi mpatie na ya gesti akamchane tu. We endelea kuwa nae, yaani we jamaa una moyo mzuri kweli
hahhahahhahahhahahahhhah......................
 
Una roho nzuri sana we jamaa. I wish ningekuwa x wa demu wako maana hali ngumu sana sasa, ningekuwa nikitaka kumgegeda namwambia akuage anakuja kunitukana unamtoa nauli inatusaidia kulipia guest...
 
Nilikuwa nataka nisometu comments za wenzangu ila kwa huu utahira wako lazima na mimi nikuchane maana nicpo sema nitabaki na dukuduku langu so utanisamehe mkuu. We ni bonge la fala lina kutosha hilo mkuu maana leo cko na akili zangu za ucku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe muombe nauli ukamchane ex wake....kuna mstari mwembamba sana kati ya mapenzi na ubwege😀😀😀😀😀
 
Ndiyo mng"ang"anie hivyo hivyo usimuache akikuomba nauli tena mpe
 
na wewe mwombe nauli ili uende kwa demu wako wa zamani ukamchane live then ule mzigo muachane hapo naona patakuwa poa
 
Mkuu Ili siku nyingine isitokee hivyo hakikisha ukimpa nauli basi we Ni PM Alafu unanikabidhi ili nimsindikize asije akagongwa tena na huyo ex wake sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom