Recent content by Flano

  1. Flano

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    🤣🤣🤣 Wazee wa kunyewa na kunguru msimu huu mtanyewa sana. Ule uhuni wenu wa msimu uliopita kupata ushindi mpaka mumzongezonge kipa kwenye mipira ya kona msimu huu hakuna timu yoyote mtakayo cheza nayo watakubali kufanyiwa huo upuuzi.
  2. Flano

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    🤣🤣🤣 Oyaaaa mwanangu Masingeli hebu niambie wachezaji wangapi wa Arsenyau wanaweza kuingia kwenye kikosi cha Brighton?
  3. Flano

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    🤣🤣🤣 Kweli kabisaaaa clean shit kwa chelkenge ndio tatizo, ila kushinda kwenu ni lazima, hongereni kwa kupata points 3.
  4. Flano

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    .
  5. Flano

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    🤣🤣🤣 UCL tumebakiza mechi 10 tu tukabidhiwe kombe letu. Arsenyau mkituonyesha kombe lenu kama hili, mlilopata tokea kuumbwa kwa ulimwengu basi mi ntawaonesha kuku mwenye miguu mitatu.
  6. Flano

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huruma sio malezi, tatizo letu la kuweka mbele utu ndio linalotuponza, yaani hawa Ipswich leo walikua wanakula chuma hata 10 ni vile tu ubinaadamu tumeuweka mbele.
  7. Flano

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    🤣🤣🤣 Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako. Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli. Arsenyau...
  8. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapenzi watazamaji.
  9. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hawa walevi ni wa kuwapuuza tu sio wa kuwazingatia sana, mapenzi kwa hayo magalasa yao yamewafanya mpaka wamekua vipofu, kuna kipindi yalikua yanashupaza shingo na kudai kua Martin Ødegaard ndio best midfielder Epl, tena yakakufuru kabisa kwa kumlinganisha na...
  10. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni fact mkuu, huyu Mbege10 nimemfatilia muda mrefu sana jamaa anajua ball, tatizo lake ni kushabikia timu ya wanazi ambao wanachojua wao ni mapambio tu, hawataki kabisa kuona mtu mwenye mtazamo tofauti na wao wanavyotaka. HENRY14 Wewe mwenyewe upo humu muda...
  11. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji106] Mbege10 wewe ni shabiki pekee humu wa Arsenal anaejielewa. Wenzio karibia wote hawapendi kuona mtu anazungumzia mapungufu na madhaifu ya timu yao, hivyo jiandae kisakolojia kabisa kukosolewa, kubezwa, kutukanwa, kuitwa mamluki. Humu kuna misukule mingi yaani hata uje na facts yenyewe...
  12. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Akapita akaenda zake.
  13. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    .
  14. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli anakwambia usitegemee kubeba kombe la maana kama Uefa kwa huu mpira wa papatu papatu wanaocheza Arsenyashi, yaani timu haipati matokeo mpaka wamzongezonge kipa wakipata kona. Inshort Masingeli hapendezwi kabisa na hii Haram football aliyokuja nayo...
  15. Flano

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee ila Admin wa Chelsea kwenye Insta page yao ana roho mbaya sana aiseee, sio kwa hayo masimango aliyopost baada ya Arsenyau kukosa Uefa.
Back
Top Bottom