Hadi sasa naweza kusema rais Magufuli amefanikiwa jambo moja kubwa, amefunua unafiki wetu sisi Watanzania. Kwa muda mrefu watu walikuwa wanalalamika kuhusu mambo mengi mfano, rais anasifiri sana, serikali haikusanyi kodi, warsha na semina zimezidi. Sasa kaingia Magufuli na kufanya kweli, ghafla...