Nina ndugu yangu wa karibu sana... alikuwa Usalama wa Taifa, ila hakuna aliejua hata mke wake mpaka mauti ilipomfika (may his soul rest in peace)..
Alikuwa ni daktari wa magonjwa ya Binadamu pia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivyo, nahisi huyu pia anaweza akawa pia.
Back in the days alikuwa( huyu ndugu yangu) ni rafiki wa karibu wa Magufuli kipindi alipokuwa waziri. Alipofariki Magufuli alikuwepo kwenye mazishi, Kwahiyo nadhani lazima kutakuwa kuna connecting dots between Magufuli na Dr. Ngwale urafiki wao haujaanza 2016.