Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Wanabarza,
Nimeamua kufungua macho watu kidogo kwa kile kilichotangazwa na Mh Pombe juu ya punguzo la kodi kwa daraja la pili toka 11 hadi 9%, kwa kweli sijui kama watu wanaelewa manufaa ya punguzo hili au la, nimeamua kuweka mchanganuo huo hapo chini.
1 Mapato yasiyozidi sh. 170,000/= Hakuna Kodi mabadiliko Hakuna kodi
2 Mapato yanayozidi sh. 170,000/= lakini hayazidi sh. 360,000/= 11% ya kiasi kinachozidi sh. 170,000/= mabadiliko 9% ya kiasi kinachozidi 170,000/=
3 Mapato yanayozidi sh. 360,000/= lakini hayazidi sh. 540,000/= Sh. 20,900/= ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh. 360,000/=
mabadiliko 17,100/= ongeza 20% ya kinachozidi 360,000/=
4 Mapato yanayozidi sh. 540,000/= lakini hayazidi sh. 720,000/= Sh. 56,900/= ongeza 25% ya kiasi kinachozidi sh. 540,000/=
mabadiliko Sh. 53100/=/= ongeza 25% ya kiasi kinachozidi sh. 540,000/=
5 Mapato yanayozidi sh. 720,000/= Sh. 101,900/= ongeza 30% ya kiasi kinachozidi sh. 720 ,000/=
mabadiliko Sh. 98100/= ongeza 30% ya kiasi kinachozidi sh. 720 ,000/=
Tatizo na malalamiko ya kodi sio kwenda single digit, wajameni...tatizo ni marekebisho kwa madaraja ya kodi yote.
Kwa punguzo hilo hapo juu ambalo watu wanashangilia nitatoa mifano michache ili watu wajue uhalisia wa hiyo "Nafuu" ambayo watu wanashangilia mitaani....
Mfano mtu aliyekuwa anapata gross ya sh 1000,000 kodi yake ilipaswa kuwa 101900+0.3x280,000 = 185,900
baada ya punguzo hilo atalipa 98100+0.3x280,000=182100
MUHIMU: hiyo 1,000,000 ni baada ya kuondoa 5% ya pspf/nssf na 3% ya NHIF kwa wafanyakazi wa sirikali..... kumbuka, kabla ya kukokotoa pesa ya kodi pesa za mfuko wa hifadhi na pesa za bima ya afya huondolewa kwenye ukokotoaji.
kwa hiyo punguzo hilo la 11% hadi 9% kwa huyu bwana litakuwa sh 3800/=
Hivi jamani hii inamrahisishia vipi maisha mtu wa kawaida?
Kwa mtazamo wangu mimi ni kuwa, punguzo la % la kodi litolewe kwa makundi yote , pia madaraja ya kodi yaongezwe, mfano mtu daraja la chini kabisa lipande toka 170,000 hadi sh 400,000 kwa mwezi na mtu yoyote anayepokea chini ya 400,000 asilipe kodi. Pia asilimia za ziada ya madaraja zishuke kwa japo 5%.
na mwisho ni kuongeza idadi ya madaraja, la mwisho lisiwe 720,000 liwe zaidi ya milioni mbili.
Asanteni
Wenu Tume ya katiba
Mcheza pool table maarufu