Hakika ni mda sasa haya magari yamekuwa kero!
Hivi hawa matraffic kutwa kukaa barabarani je haya magari hawayaoni yanavyovunja sheria.
Yaani wao hata kama watu wako kwenye foleni kwasababu wana STK, SM, STJ basi watapita katikati ya barabara tena kwa spidi huku wanawasha taa.
Huku dodoma jana...
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya hili jambo. Mtu unazunguka kuomba kura kuwatumikia wananchi kwa bahati ukapata kwa kupindua matokeo ila leo watu uliowaomba kura unawakejeli.
Kiukweli sielewi maana urais ni epitomy of politics, what else do u need? Yaani Tanzania ilikuwa katika trend ya...
Habarini wadau,
kwakweli ukikaa ukatafakari yanayoendelea nchini kwetu ni mambo ya kusikitisha sana na bila mabadiriko ya dhahiri kupata maendeleo stahiki itakuwa ni ngumu kwakweli.
Hiki cheo cha mkuu wa mkoa au wilaya naona vimeshapitwa na wakati. maana mtu anapewa tu alafu ana mamlaka zaidi...
si lazima uchangie, shida watz kila kitu wanajifanya wajuaji. nenda kenya hapo tu karibu watu walivyo open minded, shida mijitu huku wanajifanya conservative alafu hamna cha maana kila mda michepuko au kutembea na vibinti vya sekondari, this is what i feel, wewe kama unaona sijielewi chukua time...
Naishi Dodoma, so preferrably ukiwa huku ni vizuri zaidi.
1. Dini kwangu si kigezo sana, though mimi ni mkatoliki
2. Rangi si kigezo sana, though akiwa chocolate color is much better
3. tabia ni jambo la msingi, sio kila siku club sijui bar
4. awe presentable, ajue kuongea vizuri sio sauti kama...
Naishi Dodoma, so preferrably ukiwa huku ni vizuri zaidi.
1. Dini kwangu si kigezo sana, though mimi ni mkatoliki
2. Rangi si kigezo sana, though akiwa chocolate color is much better
3. tabia ni jambo la msingi, sio kila siku club sijui bar
4. awe presentable, ajue kuongea vizuri sio sauti kama...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Ni mda sasa natamani kuwa na mtu ila sipati bahati kukutana na mwanamke ambaye ana vigezo nnavyovitaka.
maana kila nikikutana na demu ni vibomu tu kama vya nyuklia.
ninafanya kazi na nimepanga, natamani nipate mdada wa umri kuanzia 26 mpaka hata 40. awe na...
Kwa kweli kuna mambo yanayonishangaza sana! Nikikumbuka kipindi cha kampeni 2015 hali ilivyokuwa kwa wagombea, walivyohangaika kuomba kura na kuzunguka kwa wananchi kadiri walivyoweza na hatimaye kufanikiwa kupata ubunge, leo hii mtu huyo anasombwa ghafla tu as if ni jambazi au mtuhumiwa wa...
Tanzanians bana kweli ndio maana tunaonekana the eighth wonder of the world. Kila mtu na interests zake, sasa kuwa judgemental au prejudiced ni nini? kutamani kuwa na mmama au mdada mwenye hela ni interests tu za mtu na wala si kufail maisha, hao wadada wa rika letu kuna mtu asiyewajua...
Nchi hii kwa hakika kila tunaposonga ndipo mambo yanavyozidi kushangaza mpaka wakati mwingine najiuliza hivi kweli tuna nia njema na elimu yetu au ni maneno tu kila mara.
Matokeo ya kidato cha nne yametoka na naamini wengi wetu tunaopenda kufuatilia mambo tumeshayajua. Sasa cha kushangaza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.