Magari ya serikali yanaruhusiwa kuvunja sheria?

fj_dom

Member
Jan 29, 2017
22
13
Hakika ni mda sasa haya magari yamekuwa kero!
Hivi hawa matraffic kutwa kukaa barabarani je haya magari hawayaoni yanavyovunja sheria.
Yaani wao hata kama watu wako kwenye foleni kwasababu wana STK, SM, STJ basi watapita katikati ya barabara tena kwa spidi huku wanawasha taa.

Huku dodoma jana karibu wanigonge, na si mara ya kwanza, au wanaovertake kwenye round about the wrong way na mitraffic inaangalia tu imekaa kutafutamakosa yasiokuwepo kwa wengine.

Kama sheria ni msumeno, basi nao wachukuliwe hatua maana ni kero kwakweli yaani hawafuati sheria za barabara kabisa hata parking huwa sometimes wanapark sehemu zisizo ruhusiwa na kuleta usumbufu kwa wengine.
 
Back
Top Bottom