Friends with benefits

Acha kupenda mteremko na maisha rahisi,fanya kazi yako kwa bidii,ongeza kipato chako nawe utafanikiwa. Usitegemee ngono ndo ikiokoe,unaweza kukumbwa na athari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa na hata ukimwi pia. Halafu miaka 31 ni mingi sana,hupaswi kujiona bado ni kijana mdogo,atleast ungetakiwa uwe na familia sasa. Siungi mkono hii hoja yako ya kutafuta mashugamami ili wakulee
 
Mambo, mimi ni kijana wa miaka 31. Naishi dodoma. nimepanga na kuajiri. kwakweli natafuta mdada au mwanamke mwenye hela awe kama sponsor wangu katika mambo mbalimbali ila na mimi nimpe utamu anaoutaka wakati anaponihitaji.
aliye serious ani pm
Kujirahisi rahis hivi utakuja uziburiwe mtaro hutasahau
 
Mambo, mimi ni kijana wa miaka 31. Naishi dodoma. nimepanga na kuajiri. kwakweli natafuta mdada au mwanamke mwenye hela awe kama sponsor wangu katika mambo mbalimbali ila na mimi nimpe utamu anaoutaka wakati anaponihitaji.
aliye serious ani pm
Duh! Kwa kweli unatuangusha! Like seriously?!!!! People like you still exist?!????? Lord have mercy!
 
Desperate times call for desperate measures. Very possible!!!
Tanzanians bana kweli ndio maana tunaonekana the eighth wonder of the world. Kila mtu na interests zake, sasa kuwa judgemental au prejudiced ni nini? kutamani kuwa na mmama au mdada mwenye hela ni interests tu za mtu na wala si kufail maisha, hao wadada wa rika letu kuna mtu asiyewajua. unakutana na mtu, two days later ni vibomu kama vya nuclear, mara na shida la laki mara nataka nikasuke, ma huyo mtu anafanya kazi and yet still anaweza kuwa na watu kama wewe watano hivi wote mnazunguka hapo hapo. Kuna mmoja hapa kasema wenda nimepata zero, wengine tumesoma mpaka chuo, we have a decent life, mazingira nnayoishi ni beyond ur comprehension na pia na gari la kutembelea nnalo ila ni maamuzi tu kuwa nahitaji a change for once kudage mtu aliyemature enough na mwenye accomplishments za kutosha hata pale unapokuwa na idea ya maana she can be there to finance something that can be progressive and in return you fulfil her fantasies. shida watz mna mawazo finyu sana.
 
large.jpg
Ha ha ha
 
Unataka kupigwa pu.mbu ila husemi straight
 
Kama una maisha mazuri, endelea kuzisaka hizo pesa. Haya ya kutafuta mwanamke wa kukutoa yanatoka wapi wakati kumbe umeshatoka? Inawezekana kweli watanzania tuna mawazo 'finyu ' lakini wewe ya kwako unayaona mapanaaa?

Grow up fast. Pata pesa zako mwenyewe. Atakuja tu anayekupenda na sio pesa tu atakupa, na mengineyo. Speaking from experience.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom