fj_dom
Member
- Jan 29, 2017
- 22
- 13
Leo nimekaa na kutafakari sana juu ya hili jambo. Mtu unazunguka kuomba kura kuwatumikia wananchi kwa bahati ukapata kwa kupindua matokeo ila leo watu uliowaomba kura unawakejeli.
Kiukweli sielewi maana urais ni epitomy of politics, what else do u need? Yaani Tanzania ilikuwa katika trend ya kusogea kikweli ila unaturudisha katika one party state, is it fair kweli?
Yaani Tundu Lissu alivyoongea kuwa tumepata rais wa ajabu haijawahi tokea, alikuwa sahihi kweli. Rais wewe ni mnafiki sana, kutwa kusema maendeleo hayana chama, na sijui upuuzi gani but wewe ndio chanzo cha uvunjifu wa amani.
Kuwa public figure maana yake unamulikwa na si kutaka kusikia unayoyapenda tu.
Badilika ndugu yetu, unakera kweli.