Recent content by fizo talent

  1. fizo talent

    Nimeamua kumuacha salama salmini

    Ndoa ni utapeli kongole kwako kwa kulitambua hilo
  2. fizo talent

    JamiiForums Usiku wa manane

    00:43
  3. fizo talent

    Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Yani dogo wa form 3 ndio wa kumuanzishia uzi...ama kweli wanaume wa kweli tumebaki wachache sana
  4. fizo talent

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Kwa dsm kwa mtaji wako huo wa laki 3 anza na biashara ya kuuza matunda sio ule wa kutembeza kwenye beseni ule una una vishawishi vingi toka kwa sisi wanaume unaweza kukutoa kwenye mstari 1)Tafuta location ya barabarani ambayo utaweza kufanya biashara yako...hakuna malipo wala kodi ila wengine...
  5. fizo talent

    Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

    sio wa mkoa wa pwani maana hawa ndugu zetu ni changamoto sana
  6. fizo talent

    Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

    Mkuu vp ulishapata mtu...kuna ndugu yangu anatafuta nafasi kama hiyo kama bado nikutafute
  7. fizo talent

    Kama mtoto wako analelewa na mama wa kambo kaa naye kwa ukaribu

    hata akimkuta wanawake wana roho za kikatili sana labda iwe huyo mwanamke bado hajabahatika kupata mtoto
  8. fizo talent

    JamiiForums Usiku wa manane

    00:30
  9. fizo talent

    Kuna aina mpya ya utapeli umeingia Dsm na mikoani chukueni tahadhari

    Jana kuna boda kapigwa 25k na jamaa ninaemjua...kamwambia amplipie king'amuzi kwa wakala kifurushi cha 25k na amnunulie na maji ya afya lita 12 Baada ya hapo ndio imeisha hiyo kazima na sim ananiambia mjini mipango baada ya dakika 10 tukawa tunacheki gem ya Mashujaa vs Azam
  10. fizo talent

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mapema sana
  11. fizo talent

    Wazoefu zaidi wa biashara

    Habari wakuu... Niende moja kwa moja kwenye mada ni wakati gani utajua biashara unayofanya imekufa au imefilisika...nimejiuliza hili swali kwa nyakati tofauti na nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja ingawa nimepata mawazo yafuatayo 1)Pindi unapotoa pesa yako katika vyanzo vingine vya mapato...
  12. fizo talent

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Lipeni hela hiyo leo si mmepata maokoto ya kutosha
  13. fizo talent

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mrusi mbona kama kajichanganya sio hela za bure hizi kwa kuzuia kadi
  14. fizo talent

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Andika kwa kutulia mkuu...Betting sio kwa watu wadhaifu[emoji16][emoji16]
Back
Top Bottom