Ngoja nikupe siri ndugu Yangu,hii dunia inaendeshwa na Mungu.Musa alitumwa akawaokoe wana wa Israeli kutoka kwa mkatili farao Mwenye jeshi kubwa.
Mungu hakumpa Musa Pesa wala siraha,alimpa miujiza tu.Leo najifunza kitu,kujiuzulu kwa bashite ni mpango wa Mungu kumsafishia njia Lissu,Wenye akili...
Uislam uliyoyaimiza ndiyo aliyoyaimiza Mwenyezi Mungu,Marehemu akifa haagwi,ni watu wachache watakaoenda kumsafisha kumuogesha na kumstiri.hazikwi na jeneza wala nguo,na kaburi lake halijengelewi yaani yafaa lipotee kabisa kusiwepo na kumbukumbu ili watu wasije kuingia kwenye zambi kuanza...
Siamini kama Nyarandu anaweza kuwa mgombea wa Chadema,kwa lipi alilolifanya?kama kweli Mbowe atamtosa Lissu,Basi yote anayosingiziwaga yatageuka ukweli.Remember NCCR na Mrema
Hivi kwa nini ukiwa CCM lazima uwe na roho mbaya,Muuaji,msema uongo,hutendi haki,ni zaidi ya mchawi,kama huamini angalia michango ya wana CCM inavyomzungumzia Tundu lisu,yaani ni zaidi ya makaburu kipindi kile cha ubaguzi wa rangi
2002 Tumekutana na Jamaa Yangu Magomeni,guest nimesahau jina,tulipotezana naye kama miaka 3 hivi,wacha tupige pombe,wakati huo Nina tiketi ya Basi la TAQWA Dar-lilogwe.Jamaa akaniambia ataniamsha kuona kalewa sana,kesi tukamuuzia mlinzi ndiye atakayeniamsha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.