Uchaguzi 2020 Lissu endapo CHADEMA wakikuzingua tu ingia Act Wazalendo

Janjawid

Member
Jul 15, 2020
93
185
Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu mabovu Andiko hili nilakuwaonya Viongozi kamati kuu
 
Piga chini tu.kwanza hana hela.Mbowe ni pesa kwanza mambo mengine ndo yafate.
 
[SUP]Kuna bundi ameanza kutanda ktk chama kikuu cha upinzani CDM juu ya mpango wakumpiga chini Mh Lissu asigombee urais mwaka huu na huyu bundi ameanzia kamati kuu chonde chonde Chadema wananchi wengi wako nyuma ya lissu jifanyeni tu kama mmajikuna mkate jina Mh lissu hamtakaa msahau maamuzi yenu mabovu Andiko hili nilakuwaonya Viongozi kamati kuu[/SUP]
Lissu anatinga timu Jumatatu ijayo na ndiye mgombea urais wa coalition ya upinzani kupitia chama chake cha Chadema.

habari ndiyo hiyo!
 
Naunga mkono hoja,Mbowe na genge lake the so called kamati kuu, jifanyeni viziwi mlete uhuni wa kukata jina la Lissu ndo mtaelewa nini maana ya nguvu ya Umma.

Hatuwezi kuafford kumpoteza Dr.Slaa na Lissu within 5 Years... aiseee
 
Mbowe na wenzako hebu msimamisheni Lisu ili tukapige kura hata sisi tuliokata tamaa, Kama mkiamua vinginevyo mtaijua vizuri nguvu ya uma, ambayo huwa mnaihubiri kila siku.
Ki ukweli kama watafanya tofauti watu wengi hawatawaelewa!! Acha tushindwe tukiwa na jemedari LISU!!! hakuna atakaye laumu mtu, ila wakifanya tofauti, hata waliokata tamaa na kupiga kura hawatajitokeza kamwe!!!
 
msiogope lisu yupo yuaja ccm wasituchonganishe chadema ni chama kubwa, fitna zenu ni za kitoto sana unadhani mpaka lisu anarudi hajui? nyie jiandaeni kupata kifo cha mwenzenu mwingine.
 
Maigizo ya siasa za huwa yanavutia sana kipindi cha uchaguzi. Pesa acha iitwe pesa Dr Slaa aliondoka CDM kutoka na taama za baadhi ya watu dk za mwisho kbsa na yy akaunga juhudi mapema sna seat ya mbele na akala shavu nono la ubalozi,,,,, kwanini isiwe kwa hawa walio baki si ajabu hata TL ipo siku akaunga tela.
Kuitoa CCM madarakani si rahisi hivyo ambavyo watu wanafikiria kwani tuna mfumo unao mpa sana sna chama tawala ni sawa na mtt leo kutaka kuwa mtawala ndani ya familia ingari baba yuko hai

Tufanye kazi kwa bidii na kuamini sna katika kujikomboa kwa kuwa na misingi bora kwa vizazi vyetu. Hatma ya maisha yako ipo mikoni mwako si kwaka Magu, TL, BM au Pro

NB kunguru mwogo huishi maisha marefu.... ndugu Mla Bata hupenda kusema "Let's meet at the top, cheers
 
Back
Top Bottom