Hehe...
Ndio maana nikaweka alama ya kuuliza pale.
Umeongea kweli tatizo kubwa ni umaskini, angalia tabia za watu waliotoka maeneo makame na yenye njaa utaona wengi wao wana ulafi na uchoyo wa chakula.Tatizo ni umaskini.
Tajiri hawezi kunyima chakula Bali atakunyima strategies zake za biashara.
Why? Naanza kuamini sasaasee hakuna watu wachoyo walafi wabinafs km matajiri.ajabu kwa matajir wenzao watajionyesha wao mambo safi.lakini nyuma ya pazia akija maskini au wale mabek3 wanapewa vyakula vilooza ambavyo tajir hawez kula tena
Hili nimesema hapa ila kuna maoni tofauti yametokaUmeongea kweli tatizo kubwa ni umaskini, angalia tabia za watu waliotoka maeneo makame na yenye njaa utaona wengi wao wana ulafi na uchoyo wa chakula.
Angalia historia ya huyo tajiri trust me ni lazima alitokea kwenye umaskini. Ukikosa kitu udogoni lazima utakuwa na Ka uchoyo au kutojiamini fulani.asee hakuna watu wachoyo walafi wabinafs km matajiri.ajabu kwa matajir wenzao watajionyesha wao mambo safi.lakini nyuma ya pazia akija maskini au wale mabek3 wanapewa vyakula vilooza ambavyo tajir hawez kula tena
Utakua mtoto wa mwisho ww teh tehdaahh wapo sana hao.hata mimi zamani wageni wakija homu naona wamekuja kumaliza diko
Hahaaa sio wanawake wote bna labda mkeo!Wanagombana sana, hasa wanawake!
Wanawake na vyakula ni shida sana!
Mnaweza kuingia hata kwenye mgogoro wa kiukoo!
Mamii this is from my experience... wanawake wanapenda sana kupigania vyakula hasa kwenye masherehe na misiba!Hahaaa sio wanawake wote bna labda mkeo!
Ugomvi kwa huto tumchele na unga wa dona!
Umeweka alama ya kuuliza wapi?
[emoji846]eee dada umeshikilia bango duuu!!!
Kuna mtu ana pesa za kutosha ila bado ni mchoyo wa chakula mpaka unashangaa huyu anapungukiwa na nini?Tatizo ni umaskini.
Tajiri hawezi kunyima chakula Bali atakunyima strategies zake za biashara.