Recent content by First Born

  1. First Born

    Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

    Mirembe ulitakiwa kuwa VVIP... Bila walimu ungeweza kuandika huu uharo wako?
  2. First Born

    Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    "Unapokuwa kiongozi wa taasisi ukaonyesha wazi wazi upande unaoupenda basi wewe ni kiongozi mbaya, kwa sababu hata hao ambao sio wako pia wewe ni kiongozi wao" Hon JMK
  3. First Born

    New member: Ukisoma JF hata thread moja tu utake usitake utajiunga tu!

    Lol, she is kid ila kamechangamka... Karibu mjukuu
  4. First Born

    Hodi hodi wana JF, mimi ni member mpya

    Karibu sana ila usijichanganye ukatia link.... Sisi humu ni wazee tushakula ban za kutosha tangu enzi za mkapa na kikwete
  5. First Born

    Hi, I'm new here please welcome me

    Karibu kitukuu chetu
  6. First Born

    Mapapa watatu (3) wenye asili ya Afrika waliowahi kuongoza Kanisa Katoliki

    Ukiachna na vi Victor 1 ndo pekee ambaye walau ameongoza Kwa miaka 9+, wengine ni 2-3. Huwezi kufanya maajabu Kwa kipindi kifupi kama hichi
  7. First Born

    Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Mwonekano wa Tambarare la mji mdogo wa Mombo-Tanga, picha ikipigwa kutoka milima ya Usambara, LUSHOTO.
  8. First Born

    Simba mnashibisha familia ya jirani wakati ya kwenu inalala njaa!

    Kwa hiyo na wewe umeamua kutoa nafasi ya miaka minne kwa mwenzio?
  9. First Born

    Simba SC wapewe maua yao

    Umezidiwa possession 66 Kwa 34, huna shot on target [emoji457] hata moja, unasema umekufa kiume, tuache kujifariji kwenye mambo ya kijinga, tuache siasa, tufanye usaji wa maana tuende mbele... Full stop
  10. First Born

    Fikiria haya kuhusu mchezo wa Yanga na Monastir majibu baki nayo mwenyewe

    Dahhh... Hii nchi ngumu Sana. Ukiwa kolo na akili yako inafubaa pia
  11. First Born

    Wayne Rooney's son Kai sees himself playing for Man Utd in Premier League in 10 years

    Wa kwangu ana kazi ya kukariri tarehe ya uhuru wa nchi zote duniani[emoji15][emoji377]
  12. First Born

    Yanga hatoshinda leo

    Inshallah wamepata wanachostahili
  13. First Born

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Na kawa mchezaji Bora wa mwezi
  14. First Born

    Ni shamra shamra za harusi ya binti wa Samia weekend hii

    ACHA chuki dhidi ya waliofanikiwa
  15. First Born

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    SEMA nyoka karembua sana kama yeye tu [emoji3]
Back
Top Bottom