Wewe kupitia sisi utakuwa platinum bila hata ya kuchukua hivyo vigezoHaha masharti ya kuwa Platinum
~ Good reputation
~ Strong engagement
~ Must donate (nasikia 500k/year)
Cc: Vincenzo Jr 😀
Wewe kupitia sisi utakuwa platinum bila hata ya kuchukua hivyo vigezoHaha masharti ya kuwa Platinum
~ Good reputation
~ Strong engagement
~ Must donate (nasikia 500k/year)
Cc: Vincenzo Jr 😀
Lol, she is kid ila kamechangamka... Karibu mjukuuSawa.
Karibu mgeni jisikie uko nyumbaniAlmost 5months since joining, JF is exceptional & phenominal!
Chumbani kwa nani tena jirani😁😁Nimekaribia najisikia niko chumbani 🙂
Aaah! Nilishtuka sana😁😁Kuna chumba kina mafaili ya wanaJF ndio napitiapitia hapa!
🙂
Nilijua nimevamiwa😁😁Pole sana, ukajua ni nini 😳
Unataka kuniteka😁😁😀 hahah, hapana napitia faili lako nijue unaishi wapi 🙂
Majirani zangu kama wewe hao😁😁Hapana nikuteke una hela au basi! halafu naona hapa una mabwana kibao au nimechanganya mafaili!
🙂