Recent content by Fion

  1. F

    JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Tamthilia nzuri sana.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Dk. Philip Mpango: Bajeti ijayo itatekelezwa kwa fedha za ndani

    Mkuu toa ushauri ili ufanyiwe kazi, nchi ni yetu sote si ya Magufuli na waziri wake, kwa pamoja tutaweza kufikia malengo tarajiwa. Hata hivyo hongera kwa kuchangia, wahusika wataona na kuchukua hatua stahiki.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Jipatie mchoro wako na wa umpendaye

    Kazi nzuri sana.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kujibu hii Kama Ni genius

    Jibu ni 1 mkuu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo Kama unauwezo basi jibu

    Nitarudi
  6. F

    JamiiForums Tanzania Yajue yafuatayo kuhusu ubongo wa mwanadamu

    Mkuu asante sana kwa elimu.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Yajue yafuatayo kuhusu ubongo wa mwanadamu

    Mkuu, asante kwa elimu, swali langu ni; nini kinasababisha mtu kusahau vitu au kupoteza kumbukumbu na wakati hajawahi kuanguka au kupata ajali na kujigonga kichwani?.
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Haaaa haaaaa
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Akome kabisa, anamvua dada wa watu kyupi mpaka sasa mtoto, halafu eti yeye mbaya lakini pesa zake tamu.
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Haaaahaaaaa.
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Mwanaume asiyejitambua ni shida. Halafu bila aibu anasimulia bila haya, amekuwa wa maana kisa anasimamia biashara za dubwana, mimi nilijua amepata kazi.
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu dada kanifadhili sana, shida ana sura ya baba

    Kama sura na umbo ndivyo unavyovitaka mbona havikukupa pesa. Unajiona wa maana kwa sababu ya pesa za huyo mwenye sura mbaya, huna hata aibu.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Brain challenge

    27
  14. F

    JamiiForums Tanzania Brain challenge

    Jibu 20.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Brain challenge

    21
Back
Top Bottom