mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,146
- 3,463
Angalia vizuri... ma apple ni mawili kwa hilo fumbo la mwisho...apple ni 7
zabibu ni 12
ndizi tatu ni 6, hivyo ndizi moja ni 2
hapo jibu litakua
7+12+2=21
tumia akili, jaribu tena
nakubaliana na wewe 28Angalia vizuri... ma apple ni mawili kwa hilo fumbo la mwisho...
Hauko sereous22.67
Easy kukosa pia21 easy kama kumsukuma mlevi
Jibu 20.
duh hadi desimali???!!!22.67