Nani anaweza kujibu hii Kama Ni genius

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Nani anaweza kujibu hii Kama Ni genius.jpg
 
The answer is 5, 5, 2.

Each line is independent. No indication that any mathematical operator exists between line 1, line 2, and line 3.
 
Mkuu kwa nini umejumlisha mstari wa kwanza, na wa pili, na watatu? Nani kasema tuijumlishe?

Kwa nini tusingeitoa au kuizidisha au kuigawanya? Nionavyo mimi ni kuwa hiyo mistari mitatu inajitegemea kwa hiyo jibu ni 5, 5, 2 na sio 12.
 
The answer is 5, 5, 2.

Each line is independent. No indication that any mathematical operator exists between line 1, line 2, and line 3.
Still, kwa line 1 and 2 mbona hakuna alama ya sawasawa, unajuaje unatakiwa kutoa jibu?
 
Still, kwa line 1 and 2 mbona hakuna alama ya sawasawa, unajuaje unatakiwa kutoa jibu?
Nilichofanya sio kuweka alama ya sawasawa bali nime-collapse kila mstari. Mtu anaweza kuweka alama yoyote ile mbele ya 5, 5, 2.

Mfano katika:

mstari wa kwanza yanaweza kuwa machungwa - ambayo yatakuwa matano (5),

mstari wa pili yakawa maembe, ambayo pia yatakuwa matano (5), na

mstari wa tatu ukawa namba tu za kawaida na jubu lake likawa 2.
 
jibu ni 1 kwa sababu hiyo mistari miwili ya juu haina muendelezo km utaendelea kujumlisha kwa mstari unaofuata,pia haina alama ya = kuonyesha ya kwamba ndio imefikia mwisho.kifupi inaelea angani
 
jibu ni 1 kwa sababu hiyo mistari miwili ya juu haina muendelezo km utaendelea kujumlisha kwa mstari unaofuata,pia haina alama ya = kuonyesha ya kwamba ndio imefikia mwisho.kifupi inaelea angani

Sasa 1 umeipataje?
 
Back
Top Bottom