Recent content by Fimbo ya Musa

  1. F

    "Stop order" ya baypot

    sasa document zangu zimesha fika baypot makao makuu kasoro hizo bank statement walizoomba niwatumie,je,nisipotuma watanikata? Au itakuwaje
  2. F

    "Stop order" ya baypot

    Habari za jioni, jamani kwa mwenye uelewa naomba anisaidie. Nilitaka kukopa bayport na process karibia zote nikawa nimekamilisha. Wakala wa baypot akaniambia ameshatuma document zangu makao makuu ila wamemwambia atume bank statement zangu ili waendelee na process ya mkopo. Sasa napenda kujua...
  3. F

    Leo ni sikukuu hakuna vipimo

    Jamani habari yenu wote mnaosoma bandiko hili. Kauli hapo juu niya doctor kwenye hospital moja kubwa huku mkoani ambayo ni tegemeo la wakazi wote wa wilaya yetu. Mimi ninachouliza ni kwamba, wagomjwa hawaumwi siku za sikukuu? Na wengine nawaona wako serious kweli,je, wakafie majumbani kwao...
  4. F

    Usifikirie kuoa mrangi hata siku moja!

    we dini gani? Mkabidhi kwa Yesu kristo naye atakuwa mke mwema.
  5. F

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    umefungwa na nguvu za giza.
  6. F

    Kwakweli vifungu hivi huwa vinanitia nguvu sana.

    Bwana Yesu asifiwe... Tumsifu Yesu kristo wapendwa... Natumai mu wazima. Kwakweli vifungu hivi vya BIBLIA huwa vinanitia nguvu sana: 1. Niite,nami nitakuitikia,nami nitakuonesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua. (Yeremia 33:3) 2...
  7. F

    Imani kitu kingine

    Siku zote usije shindwa kumwomba,kumwadu na kumtukuza Mungu sababu ya watu au mazingira yoyote yale.
  8. F

    Mwenye taarifa huko serikalini jamani mshahara wa mwezi nov kimya!

    Kada ya ualimu ni wito. Kwa hiyo tuzidi kumwomba Mungu atatusaidia
  9. F

    Kwa wale wenye IMANI kwa mwenyezi MUNGU naomba kuuliza jamani!

    Poleni kwa pilika za hapa na pale jaman! Kwanza kabisa mi huwa nawashangaa watu ambao hawamjui Mungu kuwa yeye ndo mweza wa yote. Ila naomba mnisaidie kwa hili: Hivi ukitumia mamruki(refa) kwa kutoa kitu kidogo ili kupata kazi, je hapo ni Mungu amekusaidia? Au kosa liko wapi kiimani jamani? Ila...
  10. F

    Naomba msaada kuhusu hedhi.

    Unajua watu wengi huwa hawajui kitu kimoja, kwamba yai la mwanamke laweza kuwahi au kuchelewa siku 2 kabla au baada ya siku 14 kwa wale wenye mzunguko wa siku 28. Kwa hiyo siku za hatari ni siku 11. Yaani kuanzia siku ya 9 hadi ya 19. Nafikiri umenielewa.
  11. F

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Sikio la kufa...? Halisikii dawa!
  12. F

    Seriously nimekata tamaa ya maisha.

    Leo ndo nimejua...! Kumbe jf kuna watu wazuri. Mi nilijua ni kejeli na matusi tu. Nimefurahi sana the way wachangiaji walivyo mtia moyo kijana.
Back
Top Bottom