Kwakweli vifungu hivi huwa vinanitia nguvu sana.

Fimbo ya Musa

Member
Jul 21, 2012
94
0
Bwana Yesu asifiwe... Tumsifu Yesu kristo wapendwa... Natumai mu wazima. Kwakweli vifungu hivi vya BIBLIA huwa vinanitia nguvu sana: 1. Niite,nami nitakuitikia,nami nitakuonesha mambo makubwa,magumu usiyoyajua. (Yeremia 33:3) 2. Yeye aniaminiye mimi,kazi nizifanyazo mimi,yeye naye atazifanya; naam na kubwa kuliko hizo atafanya,kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. (Yohane 14:12). Wewe je ni aya zipi zinakubariki mpendwa? Mbarikiwe wote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom