Imani kitu kingine


T

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
553
Likes
0
Points
33
T

twijuke

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
553 0 33
Wana Jf poleni na majukumu

Nipo kwenye internet, nimekaa na bwana mmjo mara naona ananyoosha mikono juu, anaongea maneno hayasikiki vizuri, natupia jicho taratibu nabaini yupo kwenye ukurasa wa facebook, lakini napata shida nahisi kama mwenzangu huenda amechanganyikiwa nimsaidie. sasa nagundua kuwa mwenzangu ni mtumishi wa Mungu, nibaada ya kusikia akisema hivi."Ushindwe katika jina la Yesu,nashusha moto kutoka juu mbinguni nakukuteketeza katika jina la Yesu,naachilia uwepo wa mwana wa Mungu,nasema Roho mtakavitu ashindwe na Roho mtakatifu ashinde".Sasa namsalimia kwa salam ambayo hutumiwa na baadhi ya wachungaji wengi, Shalom naye ananijibu Shalom, nikamwambia mwanzo nilidhni kuna jambo linakusibu, akajbu Hooo...hapana kuna watu wana matatizo huwa wananitumia ujumbe kwenye facebook yangu niwaombee. Ebu check kwenye computer? Hapa ndo nikasema kweli Imani kitu kingine.

Mungu awabariki
 
Immortal_MH

Immortal_MH

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Messages
1,191
Likes
1,907
Points
280
Immortal_MH

Immortal_MH

JF-Expert Member
Joined May 14, 2013
1,191 1,907 280
weka picha ikibidi na video kabisa
 
T

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
553
Likes
0
Points
33
T

twijuke

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
553 0 33
We hunitakii mema!
 
F

Fimbo ya Musa

Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
94
Likes
0
Points
0
Age
23
F

Fimbo ya Musa

Member
Joined Jul 21, 2012
94 0 0
Siku zote usije shindwa kumwomba,kumwadu na kumtukuza Mungu sababu ya watu au mazingira yoyote yale.
 

Forum statistics

Threads 1,263,996
Members 486,156
Posts 30,169,640