Huwaga najiuliza, inawezekana sisi binadamu ni parasite ndani ya mwili wa kumbe mkubwa sana na hii dunia ni organ tu kama ulivyo moyo labda. Na hata hzo sayar zingine ni organ pia (labda mapafu😂)
Inakuaje kama natural calamities zinazotokea ni effect za huyu kiumbe kutumia dawa au immunological...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.