Recent content by Fikra Pevu

  1. F

    JamiiForums Tanzania Maswali Kupima Ujuzi Wa Lugha Badala Ya Ujuzi Wa Somo Husika

    Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha ngumu ya kiingereza katika maswali yao, hali inayopelekea wanafunzi wengi kufeli masomo hayo kwa sababu...
  2. F

    JamiiForums Tanzania I need to develop a human computer computer interface

    Actually what you want to do in technical terms, it is called, Neural Engineering. To be able to interact with the brain via brain-machine interface (BMI), you have to be conversant, with biology side of the brain (anatomy and physiology of brain structures/circuits) and mathematical side of...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Animation Industry: Kenya Vs Tanzania

    Safi mkubwa.!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    TBC Taifa - 87.5 FM Dar es Salaam - Listen Online
  5. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Poleni sana wakuu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kuota ndoto kunasababishwa na nini?

    Mungu, Shetani au Mawazo yako ya mchana kutwa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Zitto: Januari ndiye mgombea wa CCM aliyejieleza kwa ufasaha zaidi kuliko wote!

    Uongozi ni kuwa na macho na kuwa na miguu. Kabla mtu hajaaminiwa kupewa nafasi kubwa ya uongozi, lazima kwanza u-test macho yake na miguu yake, kwa kumpa nafasi ya chini na ukaona anavyo-perform. Macho ni uwezo wa mtu kuona anapotakiwa kwenda, na miguu ni uwezo wa kumpeleka huko anapotaka...
  8. F

    JamiiForums Tanzania A God can be a mere theory, nothing more

    Maswali haya aliyouliza mtoa mada ni maswali mazuri. Wengine wanaweza kuona anakufuru. Naomba ni-declare interest kwamba mimi ni mtu wa imani. Kuna makundi mawili ya watu. 1- Watu wanaomwamini Mungu kwa mkumbo: Hawa wao hawajawahi kukutana au kuzungumza na Mungu katika maisha yao. Ama...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Whatsapp calling activation

    Asante mkuu.! kwangu mambo mazuri.!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye mtu, ni Neema za MUNGU tu

    Neno hili ni uzima
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kikwete unamuogopa Mwakyembe

    Kuleta huduma ya treni Dar es Salaam ni kujidanganya?
  12. F

    JamiiForums Tanzania Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Mwambie huyo. Mimi ndio nimetoka kumaliza degree yangu katika fani niipendayo. Hamna kitu raha kama kuwa kwenye fani uipendayo. Hapa nipo najiandaa kwani fani yangu inataka niwe na Masters. Na baada ya hapo, ninazunguka dunia tu kwani fani yangu ni truly international. Nakumegea tu...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Mimi nimemwabia hicho unachomwambia wewe. Kuwa wanaokushauri uende u doctor ni uhakika wa kupata ajira nchini. Nasisitiza nchini. Lakini nimemshauri atofautishe uhakika wa kupata ajira na kuwa na maisha safi. Atofautishe uhakika wa kupata ajira na kufanya unachokipenda.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nisome ipi kat ya pcm na pcb?

    Waliokushauri uwe doctor, najua kwa nini walisema hivyo. Si kwa sababu walichunguza uwezo na haiba yako wakaona unafaa kuwa doctor. Si kwa sababu ukiwa doctor utakuwa na maisha safi sana. Ni kwa sababu ya tatizo la ajira. Kwamba ukiwa doctor una uhakika wa kupata ajira. Tofautisha uhakika wa...
Back
Top Bottom