MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 942
Kuna watu wanashangaza sana. Huwa wanadhani ni kwa akili zao wanafanya au wanafanikiwa..naomba nikukumbushe ni kwa neema za MUNGU aliejuu uko hapo ulipo. Yaani khaaa..ati mi nimsomi ndio maana...kuna wasomi kuliko wewe hawana mbele wala nyuma, kuna matajiri kuliko wewe hawana amani na utajiri wao hauwasaidii chochote...tuwe watu wa shukhrani kwa Mungu. Kuna watu wanatamani kuwa kama wewee yaaani hawawezi.
Nakumbusha tu ni MUNGU pekee.
Mchana mwema dears!
Nakumbusha tu ni MUNGU pekee.
Mchana mwema dears!