Animation Industry: Kenya Vs Tanzania

Wenye evidence waweke
Nimekuwa inspired sana na kazi za hawa jamaa- kampuni iko Tanzania so sina uhakika kama ni watanzania wakenya au....ila nimeipata hiyo video youtube rafikiyangu alinifoadia....kama watanzania tumefika hapa basi ni dalili nzuri

Huyu jamaa siyo mtanzania ni Mtu wa Bronx New york anaitwa Rudvan Maloku
 
Back
Top Bottom