Recent content by Fidelis Minja

  1. F

    JamiiForums Tanzania Waliomtandika bakora Mwanamke huko Wilaya ya Rorya wakamatwa

    Aksante mungu kwa kuliona hilo na wahusika kukamatwa tena wale wazee wanastahili adhabu kali zaidi ya waliochapa
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tecno siyo Simu ya Kujisifia na Kuifananisha Na High Quality Phone

    Cm inakuwa hafai kwa matumizi yako. Pia yawezekana Tecno ikawa kwa matumizi yetu kuliko hizo za bei kubwa. Ushauri kipato ndio kinatufanya tuwe na madaraja katika matumizi mbalimbali
  3. F

    JamiiForums Tanzania A true MMU story with photos, happened in 2016

    Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Aksante kwa kutupa kisa cha kweli nasi tujifunze kupitia wewe
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Atakayetaka kushindana na serikali, hatutamvumilia

    Kwa upeo mdogo c vema kushabikia mwenzako anapopatwa na matatizo. Kwa maana tatizo halina mmoja na cheo ni dhamana heshima ni kwa mkubwa na mdogo...
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

    Tanzania ya Viwanda. I think it's better to focus beyond our thinking capacity about Dangote as why decided to invest Tanzania and not Kenya. What are the benefits of him and the country as a whole. He decided to make rail from where the raw materials to Mtwara why? I think there's something...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Arusha bila Lema

    Wapo binadamu wasio na huruma na kupenda wenziwao kupatwa na matatizo. Tutaendelea kuombeana katika kila jambo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba nusura achezee kichapo wilayani Ruangwa-Lindi

    Lakini pia hao ndio maprofesaa wa TZ... kujiingiza kwenye siasa na kutumia Elimu zao vibaya
  8. F

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba nusura achezee kichapo wilayani Ruangwa-Lindi

    Wana haki ya kumzomea kwa ajili ya kutetetea maslahi ya chama
  9. F

    JamiiForums Tanzania First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Mmmh kwa Tb Joshua naamini kumuomba mungu hakuna mipaka ya kanisa kubwa ni wewe muombaji na imani yako km huna imani hata uende wapi ni kazi bure...
Back
Top Bottom