Africa's richest man faces challenges in Tanzania, closes down cement factory-Forbes

Wakati mlikua mnajikombakomba kwake na kumuahidi gesi ya bure hamkuliona hilo. Nchi ya viwanda haijengwi kwa usanii, majungu, visasi, matamko.... Juzi hapa mkasema Dangote hana tatizo mtampa kila kitu, leo ghafla mnamtunishia misuli, mnasema hiki mnatenda kingine.
Wawekezaji wote wanawasoma nyie, kumbuka bado mnategemea wawekezaji wa kutokea nje maana hata sindano na pipi mnaagiza, uwezo huo haupo kwenu.
Na ivory inatoka nje
 
Kumruhusu kuingiza coal toka South Africa ina maanisha ku-discourage investments in coal mines.
Tujiulize Mimi na we we Kwa nini anachukua SA?Kwa nini sukari ya Brazil ni bei Rahisi kuliko ya morogoro?Haya maswali ilipaswa mawaziri wayatatue
 
Halafu Wabongo kwa kiburi cha umaskini wanamwambia Dangote aende tu hawana haja naye.... Angalia comments zao kwenye mitandao.

Kuna kipindi nilisikia wakubwa wanasema hatutaki misaada, nikasubiri kuona serikali inavyokataa misaada, matokeo take tumeomba hadi kujengewa msikiti na kiwanja
 
Tanzania ya Viwanda.
I think it's better to focus beyond our thinking capacity about Dangote as why decided to invest Tanzania and not Kenya. What are the benefits of him and the country as a whole.
He decided to make rail from where the raw materials to Mtwara why? I think there's something in vain but we cannot know. Who should be blame? but ITV announce that on Tuesday they will interview of our leaders about why Dangote shut down cement factory....
 
Mimi nitasimama upande wa serikali hadi mwisho hata kama wanakosea maana kuna facts ndani ya maelezo ya serikali;
1. Vipi wawekezaji wengine wanapata incentives kama hizo, je hapo kuna fair competition?
2. Wawekezaji kwenye makaa ya mawe wakauze wapi makaa yao na uwekezaji wao ina maana hauna support yoyote
3. Vipi ajira kwa watumishi walio katika sekta ya makaa ya mawe?
4. Kutumia pesa za kigeni kuagiza makaa Africa kusini wakati hata kwetu yapo tena mengi na nafuu (shilingi inakosa nguvu)
5. Uwekezaji ambao hauna mpango wa win-win situation si rafiki kwa nchi yetu

Nabakia kuwa upande wa serikalo potelea mbali
 
Forbes ndiyo wale waliokuwa wanamtafuta binadama maarufu na wakamoendekeza yule wa kiwanda kinachopigwa vita kule Brazil cha kutengeneza mashine za kuchechekecha mawe ya cement kama kile cha Bill gate ?
 
Dangote amejaribu kupiga mkwara amekuta kiberiti kimejaa, Dangote kama anaona bei ya uzalishaji imeongezeka na yeye angepandisha bei ya Cement yake tu ukizangatia Cement yake ndio cheapest kwa bongo na si kufunga kiwanda, huu ulikuwa ni mkwara tu.

Kwa kuwa mkwara wake umegoma, muda si mrefu ataendelea na uzalishaji, atatoa tena press release akikazia ilikuwa ni technical malfunction tu ya mitambo tu, hasara anayoingia ya kuwalipa wafanyakazi bila uzalishaji ni ya kijinga.
 
sometime naona bora niishi maisha yangu tu....kukikucha nashukuru Mungu na nkikosa nalala....!!!
 
Dangote amejaribu kupiga mkwara amekuta kiberiti kimejaa, Dangote kama anaona bei ya uzalishaji imeongezeka na yeye angepandisha bei ya Cement yake tu ukizangatia Cement yake ndio cheapest kwa bongo na si kufunga kiwanda, huu ulikuwa ni mkwara tu.

Kwa kuwa mkwara wake umegoma, muda si mrefu ataendelea na uzalishaji, atatoa tena press release akikazia ilikuwa ni technical malfunction tu ya mitambo tu, hasara anayoingia ya kuwalipa wafanyakazi bila uzalishaji ni ya kijinga.

mtanzania1989 Huwa nakuaminia kwenye haya mambo ya kiutaalam, hebu naomba weka hizi mbwembwe zako pembeni na kwa faida ya wanaJF utueleze tatizo nini haswa kiutaalam.
 
Kumbe kuna mnigeria humu....nakisw hatuachi kutupia humu ujanunua kamusi
 
Dah maneno yanaumiza haya jombaaa ,taratibu basi

Hivi jombaa hamuwezi kufanya yenu mkaichukua Arusha na Kilimanjaro kuwa sehemu ya Kenya ?
Nenda mombasa chap ndio wapo wenye mawazo yako naona unapenda sana wanaume wa Kenya mpaka unataka waoe miamba ya kaskazini sasa mimi kama msemaji wa miamba ya kaskazini nakulaaani kwa nguvu zote.
 
Nenda mombasa chap ndio wapo wenye mawazo yako naona unapenda sana wanaume wa Kenya mpaka unataka waoe miamba ya kaskazini sasa mimi kama msemaji wa miamba ya kaskazini nakulaaani kwa nguvu zote.
matusi ya nini sasa ? Unajua kwanini nimesema hivyo ,Arifu mie mwenyewe chalii ya r acha kuleta mapigo ya kiduanzi ,machalii wa daslaam ndio wana hizo mboyoyo mingi
 
hhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbona ustukizaji hautokei kule au ni makaa ya mtyo ee chuma chikoli motyo mzae e
 
Back
Top Bottom