Arusha bila Lema

Arusha bila Lema

Yaani ndugu zangu wa mikoa mingine, labda niwaambie tu kuwa kwa sasa Arusha imetulia bila Lema. Watu wanachapa kazi, maisha yanasonga.

Tuko vizuri hata Bbla ya kuwa na mbunge, mbunge Lema alikuwa muhamasishaji wa vurugu kila kukicha. Kama kuna uwezekano naiomba mahakama iendelee kumshikilia na ikiwezekana afungwe tu.

Kiukweli wananchi wa Arusha tulimchagua Lema atupiganie ishu za maji, barabara madawa elimu n.k lakini anatuletea story za kuota ndoto. Huu ni upuuzi na ukosefu wa maarifa ya mbunge juu ya kutuletea maendeleo.

Kwa Sasa Arusha ilivyo nimeamini Lema ndio kikwazo cha maendeleo ya Arusha.
Wapo binadamu wasio na huruma na kupenda wenziwao kupatwa na matatizo. Tutaendelea kuombeana katika kila jambo...
 
Watz kweli wana vichwa vya panzi yaani watu wanajitoa ufahamu kwa mambo yanayo muhusu mbunge Lema.
Kama vile hatujui alicho kifanya
Binafsi siungi mkono chokochoko hizo
Chadema chama changu lkn siwezi kushabikia mambo ya kijinga eti kwa kua anayefanya ni Mbunge wa chama changu au ni wa jimbo langu
 
Yaani ndugu zangu wa mikoa mingine, labda niwaambie tu kuwa kwa sasa Arusha imetulia bila Lema. Watu wanachapa kazi, maisha yanasonga.

Tuko vizuri hata Bbla ya kuwa na mbunge, mbunge Lema alikuwa muhamasishaji wa vurugu kila kukicha. Kama kuna uwezekano naiomba mahakama iendelee kumshikilia na ikiwezekana afungwe tu.

Kiukweli wananchi wa Arusha tulimchagua Lema atupiganie ishu za maji, barabara madawa elimu n.k lakini anatuletea story za kuota ndoto. Huu ni upuuzi na ukosefu wa maarifa ya mbunge juu ya kutuletea maendeleo.

Kwa Sasa Arusha ilivyo nimeamini Lema ndio kikwazo cha maendeleo ya Arusha.
Kweli kabisa,
 
Sheria ya Habari Imetufikisha Pabaya Watu Wanaandika Hata Mawazo ya Kujifitinisha na Mioyo Yao ili Mradi tu Wasionekani Wachochezi

Wanaandika Huku Wanaumia Akili na Mawazo yao Zimeshikwa na Watawala Uoga Unawanyima Uhuru wa Maoni Halisi
Basi Wameamua tu Kutumia Sheria ya Ndoa
(Ukiolewa Chupi Juu ya Kamba)
 
Ukifungwa kwa mambo ya kisiasa yaani hujapiga mtu, hujaiba kitu wala hujatukana mtu, maana yake bado unakuwa na haki ya kugombea na kupata vyeo vya kisiasa.Lakini wataalam wa sheria wanaweza kunikosoa
 
Sisi wa arusha ndo tunaojua ukweli Na ikifika kipindi Cha kampeni mtaona tutamchagua mtu tunayemtaka so nyie pigeni mboyoy tu sisi ndo wapig kura
 
Akifungwa kwa matatizo ya kutunga ya kujitakia nasikia hadi raha

Mnaacha kuwafunga watu waliolitia taifa hili hasara kwa kuyaita madhambi yao makaburi mnapambana na waota ndoto. Mahakama ya mafisadi imeanzishwa kwa mbwembwe mnawaogopa wezi, mawakili wa serekali wamebaki wanakimbizana mahakamani na neno shoga!!!
 
Magufuli Gambo na Makonda tram ambayo watahitaji sana kwa kuendesha siasa za visasi inajulikana duniani watawapa wa aina yao huwa wanashindwa flat kabisa ubabe na uzandiki wa kutumia matapeli na wa kwema kodi kama kujenga hospitali ba misikiti kwa hela za GSM kunawaangusha na ku waonyeshe kwamba wananabariki UfisadI tunataka kujua Gambo pikipiki 200 amrita wapi wakidhani watanyamazisha wapinzani kwa fedha za mafisadi hawatafanikiwa
 
Nilijua tuh jins wabongo walivyo vichwa vya Panzi watasahau yale ya mapesa ya tetemeko kagera na kushupalia haya ya lema Daah.

Na kweli, watu wanashindwa kupeleka misaada kwa wahanga huko kagera, wanaishia kugawa pikipiki kwa watu ili kupata kick ya kisiasa.
 
Na unafaidi nini criminal akiachiwa toka jela?

Mkuu wezi wa nchi hii si ndio hao wanaokaa high table huku wakiangalia watz tunavyotaabika na mikataba ya kuhuni. Ni kweli Lema ana mapungufu yake kama binadamu, lakini wanaostahili kuwa jela ndio walioshika remote ya magogoni mpaka jina la ufisadi limebadilika kuwa makaburi.
 
Hakuna siku niliyomuona mjinga huyo Lema kama siku alipojidai kunyanyuka na kutamba Mkuu wa Mkoa alipokuwa anaongea.

Kuja kusikia tena anamtumia mkewe kumtukana mkuu wa mkoa. Dah.
Kwa hiyo MAGUFULI NA GAMBO wameingilia mahakama ili afie jela basi mwisho wake tunausubiri kwa mafisadi kuhonga mkuu wa mkoa pikipiki awanyamazishe wananchi vinginevyo alert risiti yenye jina lake anenunuwa wapi na kwa hela zipi alizonazo
 
Hakuna siku niliyomuona mjinga huyo Lema kama siku alipojidai kunyanyuka na kutamba Mkuu wa Mkoa alipokuwa anaongea.

Kuja kusikia tena anamtumia mkewe kumtukana mkuu wa mkoa. Dah.
Ustadhati kwani Mke wa lema alimtukanaje huyo mkuu wa mkoa?
 
Back
Top Bottom