Nachokiamini nikuwa kazi ya msingi ya viongozi wa taasisi za kidini ni kuishauri na kuielea serikali kwa njia ya kuhubiri amani,mshikamano na upendo,sasa anachokifanya huyu so-called askofu naniii ni nje ya ambit ya kanuni za kidini,sasa anaanza kupoteza mvuto wa kiongozi wadini ambaye anapaswa...
Tatizo letu hatupendi kujituma kwa bidii, tumekuwa wavivu na mizigo,thus why kila siku tunalalamika maendeleo yanachelewa wakati tunayachelewesha wenyewe hiyo ni kutokana na misingi mibovu ya malezi toka kwenye familia mpaka kwenye ngazi ya juu ya kiutawala.
Hiyo sure kiongozi kabisa bro, nimeshuhudia office nyingi zikifanya kazi kwa style hiyo,tunajikuta kimahesabu tunafanya kazi masaa 2 tuu badala ya masaa yaliyopangwa
Jaman mtu ukiwa na reasoning nzuri hupati tabu ya kumtambua mtu matatizo yake cz ata extra-sensory perception inatoa majibu ikichangiwa na body language yake kwamba ana maumivu yakutimuliwa uwaziri,cz hakuna sababu yakutanguliza shukrani za kipindi ulichokuwa kwenye uwongozi na ushirikiano...
Wanaharakati msipate tabu wala msitumie nguvu nyingi kumcrtisize uyu bwana,jambo la msingi atuwekee ushaidi hapa JF wakutosha(credible evidence)kwamba waliosasababisha na kufanya uwalifu huo si UWAMSHO bali ni hao watu anaowasema thn tukiridhika nao ndio tunaweza kujaribu kumuelewa.lakini sio...
Wanajidai nao ni boko haram watanzania,nyie wanzanzibar,wenye idadi ya watu ambao ata milioni2 hamfiki,mnadhani hyo ni njia sahihi yakufikisha ujumbe?uko mnapoelekea nikubaya hampawezi na walahamtofanikiwa,kama ni vita ya udini angalieni kasheshe iliyotokea kati ya US& na baadhi ya mataifa ya...
Yap!kihistoria kwa miaka anayozungumzia huyo muheshimiwa kwel CCM ilikuwa supreme,lakini kutokana na mfumo wamaisha kuwa dynamic that supremacy imetoweka,na ukiona serikali inafikia kipindi serikali inatumia nguvu ya jeshi kushinda mbinu nyingine za mamlaka iliyonayo basi ujue dhahiri serikali...
Magufuli hana mda wakuongelea vitu vyakufikirika na visivyokuwa na tija,sababu siasa za Tz na hasa za CCM si siasa safi na nisiasa zilzopoteza mwelekeo,sasa leo maguful haaribu status yake kwa kuongelea upuuzi atakuwa ajielewi,tena uyo magufuli anaelement za uCDM ndo maana afananii na magamba,
Nimefurahishwa sana na uliyoandika mkuu!
Kiukweli uliyoyasema yanaleta maaana na picha nzuri,kutokana na uchaguzi unaohisi wewe utakuwa ni safi na wa maaana na wenye maslahi mazuri kwa wakazi wa Arumeru.
Ningependa kukumbusha mambo yafuatayo.
1.tulipiga kura kutokana nakuhisi sera...
Jamani kwani mtu akitumia fedha zake binafsi alizopata kwa nguvu zake ni kosa?na je mtu akipewa posho kutoka ndani ya chama chake pia nikosa,mbona hao magamba hamuwasemi na wewe pia una locas stand gani juu ya matumizi ya mbatia,je uyo mbatia hapaswi kustare na kupumzika kwa nafasi...
Kabla waandishi hawajafanya huo uchunguzi,je information hizo zimevuja kutoka wapi?na kama izo information hazijatoka kwenye reliable source uwoni utakuwa unanganya umma na kisheria pia ni kosa?tumechoka na rumors ambazo hazina msingi justify na pia toa proof yakutosha,isije ikawa ni maswala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.